mukulupapaa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 2,930
- 1,733
Hivi nyie ni wageni kwenye mpira ?
Football is a team sport hio sio Golf au Tennis...,
Cup Competition sio kama League.., the Best team does not necessarily lift the Cup inategemea on the day umeamkaje na umecheza na nani na a bit of luck...
Kwahio ulitaka apige penalty yake mwenyewe na zile za waliokosa apige yeye na achukue nafasi ya kipa kuzuia penalty nyingine
Hayo mambo ya umeamkaje au umelalaje ni huko huko kwenu kariakoo na jangwani