Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,061
- 16,753
Mkuu reading between the lines, nimegundua tatizi lako linahegemea katika itikadi za vyama zaidi kuliko kujadiri kuhusu hatma ya Taifa letu - Wote ulio wataja hapo i.e Kenyatta na M7 nawawajua sio kwamba nimekurupuka kuwasema hapa - please revisit my post, nimesema sisemi Kenyatta yuko naive kwa nia mbaya mimi nilikuwa na maana yangu; M7 aliwahi kuishi karibu na kijiji nilicho zaliwa - sasa wewe unaposema simjui una maana gani? Nakuomba huwe unatafakari kwa makini wenzako wanacho andika. Wewe kama una Tatizo na Taifa letu hata kama umezaliwa hapa - basi come clean udhilishe hilo na sio kutumia cowboy tactics kuwaponda wengine - uzalendo wako huko WAPI if I may ask. Hivi unajua Mzee Mgabe ali-comment nini kuhusu hulka ya M7 baada ya kukutane naye mkutatoni Paris, kumbuka Rais Mugabe ni Rais mwenye busara sana na aliwahi kuwa mwalimu; kama M7 alikuwa anaona anaonewa mbona alikaa kimya....Kashaga got a number of things wrong....wakati wa Medvedev, uhusiano wa Marekani na Urusi ulikuwa warm, as the presidents -wa US na Russia- had good chemistry. this matters a lot. ...you are underestimating M7. sijawahi ona anaogopa mtu. ...humjui Kenyatta vizuri. let me ask you. for how long Kenyatta has been a businessman and a leader in goverment? wakati sisi tunaona wanapoteza muda na kufanya unafiki kwa wasiyoyajua, wao wanajenga nchi zao. tuendelee ku kalaga bao!...people are different, si kila mtu amekalia politiki kama akina sie! let me ask you. ni kiasi gani unafikiri Kenya itaingiza kwa kuwa geti la bidhaa za Uganda na Rwanda? this is no rocket science, its simple math!
