Is our president serious?

Is our president serious?

Ebwana jamaa ni hatari kabisa, yani najiuliza hii ni kweli au?
Maana kila akiongea mtu mwingine anarukia kumtoa kwenye mtihani.

Umeniacha kwenye mataa...nani unamzungumzia hapo? Rush? O'Bummer? au Kikwete?
 
At least Mkapa knew how to BS through/around these kind of panel discussions...

Sijui Julius alikuwa vipi but I have a feeling he was damn good too...

Late Julius Nyerere was not good too! was good point blank!...yaani kikwete kwenye maswala ya watu ku-loos kazi kajikanyaga kishenzi....me ananiudhi and i supported him kwenyeuchaguzi wa raisi 10%nilikuwa namatumaini sana naye...uuuuugh i am pissed with him now.
 
Huyu mama wa world bank anaonekana ni smart kushinda kikwete...na kila ninavyomsikiliza ananifanya nione kama naangalia movie za kinigeria (reffering to her accent actual)

Mr Geldof lazima atakuwa anamuangalia raisi wetu mtukufu huku anatingisha kichwa..huku anasema dang african never cease to amaze me...
 
Hapa Mkapa ndio nilikua nampenda... agensimamia show mwanzo mwisho huyu jamaa anapwaya.. Eti eeh eeh eeh ROFLMAO.. Lakini on a serious note, we need leaders Mungu wangu... this is bad
 
Hata mimi ningepata kigugumizi duh!! Amina R WE DONE WITH THE 1st QUESTION??? SHE IS DA BOMB,Intellectual and Beautiful.
 
Hata mimi ningepata kigugumizi duh!! Amina R WE DONE WITH THE 1st QUESTION??? SHE IS DA BOMB,Intelectual and Beautful
Unaweza kukuta pepo la ngono lilikuwa limemwingia akawa anawaza kuhusu huyo demu badala ya mdahalo.
 
Huyu mama wa world bank anaonekana ni smart kushinda kikwete...na kila ninavyomsikiliza ananifanya nione kama naangalia movie za kinigeria (reffering to her accent actual)

Mr Geldof lazima atakuwa anamuangalia raisi wetu mtukufu huku anatingisha kichwa..huku anasema dang african never cease to amaze me...
Preparations does wonders, huyu mama kajiandaa anajua anachoongelea...
 
Kikwete ni reflection ya viongozi wengi wa Bongo ambao kuongea pumba is the norm na mara nyingi majibu yao huwa hayazingatii facts.

Kitu kingine ni kukosekana kwa utamaduni wa vyombo vya habari kuwa-call out hawa viongozi wanapochemsha.

Mnakumbuka jinsi yule Piyush Jindal alivyochemsha na hotuba yake jinsi alivyopigwa madongo na media zote.

Nakumbuka tulishakaa na kiongozi mmoja mkubwa kutoka Bongo na tukawa tunazungumzia mambo mbalimbali ya kijamii na kiuchumi yaani yule mdingi alikuwa anachemsha kupita kiasi hadi ikawa soo kwa watu tuliokuwa nao ambao walikuwa ni wanafunzi wa kimarekani. Kesho yake wakawa wananiuliza kama yule dingi ni kweli hiyo position aliyokuwa nayo huko Bongo kwa sababu tu ya uchemshaji wake.
 
Hivi Raisi wetu kikwete si amezungukwa na vijana waliosoma na wenye upeo mkubwa sana na nilisoma kwa michuzi kuwa some of them wanaandaliwa kuja kuwa our next president in the future? ambao ndiyo wanamsaidia kikwete kumpa ushauri right?!...so why hao watu wasomi wasimsaidie raisi wetu jamani eeh kumuweka jikoni wamuandae vizuri kabla hajatokea hapa...my question is wanacofanya sasa ni nini haswa hao washauri wa raisi kikwete (cijana na wasomi)
 
Jamani for those who have been watching the IMF meeting at the BOT Towers, have u noticed like i have how aisha wa CNN alivyo muuliza kikwete simple questions na kashindwa kujibu kwa uhakika...jioneeni

Concluding Plenary » Africa is changing...

Dah...muheshimiwa kalikoboa swali hadi aibu....naona mdada mwisho akamwambia basi yaishe akalitupa kwa mtu mwingine.
Rais wa nchi anaulizwa utafanya nini tofauti kuhusu hali ya kiuchumi na yeye anasema hakuna jipya...atayarudia yaleyale.....tussitegemee chochote tofauti hapo wazawa.
 
Hivi Raisi wetu kikwete si amezungukwa na vijana waliosoma na wenye upeo mkubwa sana na nilisoma kwa michuzi kuwa some of them wanaandaliwa kuja kuwa our next president in the future? ambao ndiyo wanamsaidia kikwete kumpa ushauri right?!...so why hao watu wasomi wasimsaidie raisi wetu jamani eeh kumuweka jikoni wamuandae vizuri kabla hajatokea hapa...my question is wanacofanya sasa ni nini haswa hao washauri wa raisi kikwete (cijana na wasomi)

Kelly hii inahitaji ujuvi wa Mr.President mwenyewe wa kuwa mwepesi wa kung'amua mambo na kutoka na jibu zuri.Hii haiitaji wasaidizi,hii ni karama ya mtu binafsi na utundu wa kujisomea.
Kama huna facts bora kutoa majibu ya jumlajumla au ku spin potelea mbali ndiyo siasa hiyo kuliko kuaibika hadharani!
 
Hivi Raisi wetu kikwete si amezungukwa na vijana waliosoma na wenye upeo mkubwa sana na nilisoma kwa michuzi kuwa some of them wanaandaliwa kuja kuwa our next president in the future? ambao ndiyo wanamsaidia kikwete kumpa ushauri right?!...so why hao watu wasomi wasimsaidie raisi wetu jamani eeh kumuweka jikoni wamuandae vizuri kabla hajatokea hapa...my question is wanacofanya sasa ni nini haswa hao washauri wa raisi kikwete (cijana na wasomi)

Hao vijana "waliosoma" hawawezi kumjibia maswali Kikwete. Kwanza hao vijana "walisoma" na wenyewe I doubt kama wangeweza kujibu kila swali kwa ufasaha...

Mi nadhani ni bora awe anatumia Kiswahili kujibu hayo maswali yaulizwayo kwa lugha za kigeni
 
Ndio huyu huyu Kikwete aliejibu kwenye ile interview yake na gazeti la Economist kuwa hajui kwa nini Tanzania ni maskini na hana solution yeyote ile. Yaani Rais anaweza kujibu pumba hivyo halafu ukakuta wananchi wanashangilia na kupiga makofi hasa wale wanaovaa magwanda ya Kijani.
 
Back
Top Bottom