Binti Maringo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2007
- 2,804
- 96
Like O'Bummer?
Like O'Bummer?
kuna nyingine hii ya world economic forum yaani mpaka unamuonea huruma Mr.President!
YouTube - Davos Open Forum 2007 - Billions in Development Aid
Ebwana jamaa ni hatari kabisa, yani najiuliza hii ni kweli au?
Maana kila akiongea mtu mwingine anarukia kumtoa kwenye mtihani.
At least Mkapa knew how to BS through/around these kind of panel discussions...
Sijui Julius alikuwa vipi but I have a feeling he was damn good too...
Late Julius Nyerere was not good too! was good point blank!...
Umeniacha kwenye mataa...nani unamzungumzia hapo? Rush? O'Bummer? au Kikwete?
Unaweza kukuta pepo la ngono lilikuwa limemwingia akawa anawaza kuhusu huyo demu badala ya mdahalo.Hata mimi ningepata kigugumizi duh!! Amina R WE DONE WITH THE 1st QUESTION??? SHE IS DA BOMB,Intelectual and Beautful
Preparations does wonders, huyu mama kajiandaa anajua anachoongelea...Huyu mama wa world bank anaonekana ni smart kushinda kikwete...na kila ninavyomsikiliza ananifanya nione kama naangalia movie za kinigeria (reffering to her accent actual)
Mr Geldof lazima atakuwa anamuangalia raisi wetu mtukufu huku anatingisha kichwa..huku anasema dang african never cease to amaze me...
Preparations does wonders, huyu mama kajiandaa anajua anacho ongelea...
Jamani for those who have been watching the IMF meeting at the BOT Towers, have u noticed like i have how aisha wa CNN alivyo muuliza kikwete simple questions na kashindwa kujibu kwa uhakika...jioneeni
Concluding Plenary » Africa is changing...
Hivi Raisi wetu kikwete si amezungukwa na vijana waliosoma na wenye upeo mkubwa sana na nilisoma kwa michuzi kuwa some of them wanaandaliwa kuja kuwa our next president in the future? ambao ndiyo wanamsaidia kikwete kumpa ushauri right?!...so why hao watu wasomi wasimsaidie raisi wetu jamani eeh kumuweka jikoni wamuandae vizuri kabla hajatokea hapa...my question is wanacofanya sasa ni nini haswa hao washauri wa raisi kikwete (cijana na wasomi)