Is our president serious?

Is our president serious?

..hata mimi huyu Mzee wetu kaniacha hoi.

..sasa hiyo tanzanite atakayompa huyu mtoto anayeweza kuwa binti yake wa kumzaa ataitoa wapi?

..ni ya kwake kama Jakaya Kikwete, au itanunuliwa kwa fedha za walipa kodi ya Tanzania?

..kwenye mjadala mzima sikusikia panelist yeyote yule aliyesema " I agree with President Kikwete on ....." hicho kwangu ni kigezo tosha kwamba aliongea pumba muda wote wa mjadala.

NB:

..lakini Raisi alikuwa Waziri wa Mambo ya nje kwa miaka 10. kabla ya hapo alikuwa waziri wa fedha. vilevile ni amesomea uchumi.
 
....lakini Raisi alikuwa Waziri wa Mambo ya nje kwa miaka 10. kabla ya hapo alikuwa waziri wa fedha. vilevile ni amesomea uchumi.

I wonder how he even made it through college (University)....

Na ndio maana hakutaka kabisa mdahalo kwenye kampeni za 2005. Angalau Mkapa ali debate na kina Mrema na Cheyo ile mwaka 95 na kwa maoni yangu alishinda mdahalo ule.
 
Bado nauliza kwanini unatoa lawama bila kuonyesha kilichopaswa kufanyika?
Are you serious?

Kwa hiyo unataka tukamjibie maswali Rais. Alivyoomba kazi ya urais si alijua anaweza ikiwa pamaja na kuizungumzia Tanzania popote pale. Sasa unataka tumfundishe kazi baada ya kumpa hiyo kazi?
 
Heheheheheee....raisi wetu mchemfu mno. Kaulizwa swali jepesi, la moja kwa moja na yeye badala ya kutoa jibu la moja kwa moja anaanza ku-ramble kama huyu blonde....

YouTube - Miss Teen USA 2007 - South Carolina answers a question

Halafu watu wanaanza kumlaumu Binti Sessay....
kwikwikwikwi hako ka blonde kana bahati ni kazuri ila sijaona wezere kama lipo...othewise hana tofauti na Jk.....

.......suala la ishay nafikiri Kuhani must be retard kweli kabisa...
 
..lakini angeulizwa swali kuhusu ishu za wanafunzi kupata mimba, angejibu kisayansi kabisa...
 
............................snip
NB:

..lakini Raisi alikuwa Waziri wa Mambo ya nje kwa miaka 10. kabla ya hapo alikuwa waziri wa fedha. vilevile ni amesomea uchumi.

Tukubaliane kwamba kuna watu hata uwape mafunzo maisha yote, daima hawa-gain. kasoma uchumi lakini nadhani siyo lazima awe mchumi, sawa na aliyesoma sheria, si lazima awe mwanasheria.

Hata kama huyu ni mtoto wetu, lazima tukubali kwamba uwezo ni mdogo. Ubongo hauna mfinyanzi. Uwezo wa huyu jamaa tulishaujadili sana hasa ktk suala la hotuba chafu au duni. kama hawezi kuunda hotuba za maana, atawezaje kujibu maswali muhimu kama hayo? Koote alikokwenda hakuwahi kujibu la maana. Kule France aliwahi kusema hajui kwa nini Tz ni maskini. Hatumuonei, jamaa uelewa ni mdogo na inaonekana alishaacha kujifunza siku nyingi.

Mwandishi wa habari anajitahidi kujiandaa ili aelewe theme za mkutano na aweze kuuliza 'sensible' questions. Yeye hajiandai ili ajibu la maana!

Ishara mojawapo ya watu wadhaifu, ni kurahisisha maswali kwa kujifanya kucheka kama kwamba kalielewa sana. Si muliona akicheka hata kwa swali lisilohitaji kicheko? Baadaye anaweka maelezo mengi yasiyo husiana na swali na baadaye ataweka mizaha ya kugawa Tanzanite, watu watacheka kama walivyozoea wapambe wake na yeye atadhani kajibu vizuri.

Hayo ndo walimu wetu wanatueleza ni majibu mazuri kwa maswali ambayo hakuulizwa.

Mwanahalakati Geld alionyesha wazi kabisa kwamba hata yeye halidhiki naye baada ya kujiuliza ni kwa nini Rais aishie kusema wala rushwa wa Bandari anawafahamu. So what? majina nothing.

Hii tabia ya kupenda kumualika sijui kama ina lengo zuri au ndo ile ya kuleta wadhaifu ili kuweka ushahidi kwamba Africa was represented.
 
............... [snip] Labda ni swala la lugha na huenda Kikwete angeulizwa Kiswahili angeweza kujibu vizuri zaidi, lakini pia, to be fair, inawezekana anajua Kiingereza ila yuko slow,

Case in point aliulizwa, kwa kiswahili kutoka kwa mtanzania katika hadhira friendly ya Watanzania hapo 42nd St NY,NY, kuhusu uwezekano wa watanzania walio nje kutumia channels za serikali kuwasaidia watu nyumbani. Akaanza kuongea very unpresidential, "mna hela nyinyi? ............... [Snip]

Tawile!!
Kama ni uganga hilo ndo tatizo kubwa la mtu wetu wa Ocean road. Kama ni kiswahili jamaa huwa ana methali rundo. Wahenga walisema........ Ikishakuwa ni English, kigugumizi kibao.

Mbali na hayo, jamaa ni mugumu wa kuweka kiwango cha wasilikilizaji. Hotuba inayofaa au majibu yanayofaa vijana wa msingi ndo anayaleta sehemu muhimu kama hizo. Achekeshe aweke mambo ya mtaani, nk. nk. ndo chanzo cha hilo tukio ulilosema kutokea hapo 42nd st.
 
Niandike lwa kiswahili kwani nimeshagundua wa-Tz Kiingereza tabu! Kwa sababu huyu JK alisema ana majina ya wauza unga na hakuwafanya kitu zaidi ya kutabasamu! Juzi akasema ana majina ya wala rushwa wa TRA akatabasamu na Bunge likasema watu aliowateua na kuchafua hali ya hewa Richmond wawajibishwe na sasa ni zaidi ya mwaka mmoja bado anatabasamu pia alijua na aliwapa kinga DAWANS ambao hata ofisi wala CEO hajulikani wakakopa pesa Stanbic na Barclays USD 75million kwa dhamana ya mitambo iliyopwekwa kwenye kiwanja walichopewa pale Ubungo na tanesco na Banks wakatoa mkopo huo akatabasamu, Dowans wakapewa amri aliyosaini yeye waondoke akatokea Idris akaenda mahakamani kuzuia wasiondoke akatabasamu; Ngeleja akakataa kununua mtambo baadae akakubali na rais akatabasamu;Idris akataka kununua mitambo mibovu huku akijua imewekwa poni akatabasamu; Sita na Mwakyembe wakakoroma akatabasamu;Idris akatishia kuleta giza ifikapo Agosti 2009 RAIS akaendelea kutabasamu na kila mwezi anachukua airtime ITV na TBC 1 Kutabasamu. Ameenda kwenye mkutano wa IMF kwenye TWIN 'towers' haramu bila kujiandaa akatabasamu na IDRIS/NGELEJA NA Baraza zima Richmond ,EPA wanamcheka. HUYU KWELI NI RAIS WA AJABU ni sawa na ile hadithi ya mfalme aliyekuwa na pembe

Mzee Mwanakijiji hauna sababubu ya kuirudia Hotuba butu ya Mkwere (jakaya mrisho@kikwete)anayotoa kila mwisho wa mwezi. Nilishasema the president is not serious ohh!!. Sikutarajia awapongeze TANESCO it seems hasomi what is going on in the country kwa uzembe na unafiki wa kuleta Mgao usiokuwa na kichwa wala mguu. Badala ya kutuambia tuachane na DOWANS angetuambia kwa nini mapendekezo ya Tume ya Dr.Mwakyembe ya kuwafukuza kazi akina Mwanyika, Edward Hosea ,Katibu mkuu Arthur Mwakapugi,Bashir Mrindoko na baadhi ya watendaji wa TANESCO waliokula pesa walizopewa na Lowasa kuipitisha Rich-mond.uli kuleta mitambo bomu: makataba baadae ulioridhiwa wa Dowans ambayo hata mmliki wake ni hewa : Hadi leo mwaka mmoja na miezi miwili anachongojea ni nini? Nilishasema na narudia huyu Jakaya Mrisho Kikwete ni time bomb!! Litakapopasuka madhara yake yatazidi yale ya Ruksa na ya yule Mmakaonde aliyetoka Msumbiji amabye kampuni yake na Yona na PPA nono na tanesco lakini hadi leo Kiwira ni ndoto ya alinacha. Toeni mawazo hiyo hotuba is also not serious bye!!!!
 
Bashing the President sio kigezo kizuri cha kuingia kwenye Siasa

All Presidents are serious, right?

Are you serious instigating- Innuendos!

I am serious!

Are you?
 
syllogist
What ever you call your self it makes no difference. Protectionism has never worked anywhere in the world just take it from me .Iam not bashing your president but these are the true colors. You just come along leta hoja kwa hoja. I have said it Your Exellence the president has never been serious at one time . You can't run a country like your own shamba ee!!! Itafika siku watz mtakuja juta na ukondoo wenu. This way we shall for ever remain a bunch of kondoo wa sadaka mpaka kiama. The problem is that the inside strory has not been told. Let him tell us hatima ya Dowans. He is damnly powerlee/helpless the turbines are lying at Ubungo eight months after he ordered that they be removed and take him to be serious oohh!!! LET US WAIT and see time is the best yard stick . Tema hoja acha woga ukinyamaza hata mawe yataongea hayo sio maneno yangu ni ya wahenga period!!!
 
Mkereme,

I am glad you have noticed how serious I am, and also how 'whatever I call myself has made a difference in your tone, quite a difference- But I beg to differ!

Yes he is my President, Yes he has his flaws, yet it his seriousness that entitled him to the Presidency.

You have yet brought any argument-wachimacallit...

"...Iam not bashing your president..."

"I have said it Your Exellence the president has never been serious at one time . You can't run a country like your own shamba ee!!! "

You meant once! and Just to add-ku-run shamba si jambo rahisi kama unavyofikiria.

"Itafika siku watz mtakuja juta na ukondoo wenu."

na kama wewe sio MTzeed Tuachie President wetu/wangu.

What difference does it make? You are still Bashing!

Ukondoo wangu ni hivi..."LEAVE MY PRESIDENT ALONE" Boo hoo hoo

Be serious!
 
Freud would say this ndugu is defensively patriotic to the point of loyal blindness. The president is the symbol of a nation and therefore can do no wrong style, almost up there with the infallibility of the papacy!
 
Bashing the President sio kigezo kizuri cha kuingia kwenye Siasa

All Presidents are serious, right?

Are you serious instigating- Innuendos!

I am serious!

Are you?

Are you personally serious with your judgement?

Do you see the relationship between presidency and seriousness being ipso facto!!

Something is wrong here!!
 
Mchunguzi THANKS a lot for taking note. Syllogist is really in wonderland and probably has an IQ below 30! Frankly thinking he is mentally retarded and has no status to stand toe to toe with even my dead body. The president he claims to have been genuinely elected by a landslide 80% actually bought it using the EPA FUNDS as he is directly linked to KAGODA and Deep Green there is no doubt make no mistake about that and even every fool and idiot in Bongo knows it except him. RA and Teddy Lowasa were the drivers of the victory WAGON. It makes no sense to any body why these buddies and many others are not behind bars serving a minimum of 50 years without parole if not even life for the hineous crimes they have commited against civility. Under these circumstances amongst others the/your president is never serious he can only smile aingie mashindano ya miss TZ!! IF HE wishes too,,!! Let me send a warning Syllogist and others of his type that we are coming after them!!!! History shall manifest this bana hakuna atakayekwepa adhabu ya jamii !!! Wanamtandao wa Jakaya Kikwete na CCM bandits in general they shall have to acount for this somwhere down the lane. I have said it....Asiyejua kufa akatazame kaburi!!!!! I am not kidding ukibisha kamulize OSAMA!!
 
Huwezi hata siku moja kuwa kwenye ligi yangu!

Sasa unachokasirika nini, ukweli? teheteheheheheheheheheh oya

be serious na uje na hoja kama ulivyodai huko nyuma, sio na matusi ambayo hata hujui kuyajenga!

Amani

MODS take note
 
Back
Top Bottom