AND
That being the Case???!!
I repeat ...!! I never Trust President Kagame and will never trust Him against the safety and sovereignty of my Country! I have never felt safe with ... HIM OR HIS COUNTRY AS A NEIGHBOR!!
tatizo letu tunajua sana kuongea,utekelezaji ni sifuri.hainiingii akilini kuwa kagame alihusika na mauaji ya kombe hata kama habari hiyo itakuwa imetoka cia.iliwezekana vipi kwa yeye kupenyeza majasusi wake mpaka wakapanga njama na kutekeleza mauaji hayo bila ya sisi wenyewe kugundua njama hizo.na kama aliweza kutekeleza yote hayo bila ya watu wetu wa usalama kugundua basi kuna haja tena ya haraka kuunda upya mfumo wetu wa usalama wa taifa ili tuepukane na mabaya yanayoweza kuja kujitokeza nchini mwetu zaidi ya suala la kifo cha imran.kwa mtazamo wangu ninaona kuwa haya yote yanatokana na maadui wa kagame ambao bado wako katika zama zao za uhutu na utusi na wameshindwa kumkabili huyu jamaa na hivyo kutafuta njia mbadala ya kumchonganisha na jirani zake ili wasaidiwe katika kumkabili na hivyo kumuondoa madarakani ili kuendeleza sera zao za kibaguzi.ni nani ambaye hajui na haoni kasi ya maendeleo iliyopo nchini rwanda kwa sasa hivi?mwacheni ajenge nchi yake sababu kwa hali ilipokuwa imefikia nchini rwanda kama si kwa yeye kujitokeza ninaamini kabisa hali ingekuwa mbaya zaidi ya yale tuliyoshuhudia.na kila siku iendayo kwa mungu huwa ninaomba atujaalie makagame japo wawili tu,mmoja aende somalia na wa pili aje tanzania ili kumaliza porojo za mitaani na kurudisha watu katika utekelezaji wa majukumu ya ujenzi wa nchi na kuondoa uzembe usio na maana unaorudisha nyuma maendeleo kwa kisingizio cha demokrasia(tanzania) na huyu sio wa ukoo wangu(somalia)mchawi wetu tunaye wenyewe,tusijaribu kufuata mambo ya nchi jirani kuficha matatizo yetu.i stand to be challenged.
kama ni kweli waliohusika walikuwa na mkono wa nje kwa nini waliachiwa huru na serikali ya tanzania?, hata wewe jiulize.
UTANI wako ni mzuri sana KOBA, kama hatutaki aibu tusije dhubutu kumchokoza Kagame, atatuzaire mara moja, mnajua aliyeamua Mobutu Sese seko Ngbendu Wazabanga atimuliwe madarakani? ni Kagame, sisime mengi, lakini ukimgusa Kagame basi ujue umetangaza vita na Uganda, Ethiopia, Israel, Marekani, Uk, na nchi zote zilizoko katika mrengo wa kulia zaidi duniani, na udogo wa nchi yake si neno, Kwani Israel ikiwa na Raia milioni moja si ilipigana vita ya siku sita na mataifa 20 ya kiarabu na baada ya siku hizo Israel ilitanua boda zake na kupata eneo mara nne la nchi hapa awali kabla haijashambulia kwa kuvizia na hao waarabu kwa siri.
It is so easy to join the dots. Mkapa hates the opposition with a passion. That is one dot. Kombe was killed under Mkapa's Presidency,
that is another dot. It is said Kombe was going to join the opposition. Now, that is another dot.
Tatizo watanzania tumebaki kuongea tuu... Where are our actions against all these issues? Let us act quickly before the worse come...
Tatizo letu tunajua sana kuongea,utekelezaji ni sifuri.Hainiingii akilini kuwa Kagame alihusika na mauaji ya Kombe hata kama habari hiyo itakuwa imetoka CIA.Iliwezekana vipi kwa yeye kupenyeza majasusi wake mpaka wakapanga njama na kutekeleza mauaji hayo bila ya sisi wenyewe kugundua njama hizo.Na kama aliweza kutekeleza yote hayo bila ya watu wetu wa usalama kugundua basi kuna haja tena ya haraka kuunda upya mfumo wetu wa usalama wa Taifa ili tuepukane na mabaya yanayoweza kuja kujitokeza nchini mwetu zaidi ya suala la kifo cha Imran.Kwa mtazamo wangu ninaona kuwa haya yote yanatokana na maadui wa Kagame ambao bado wako katika zama zao za uhutu na utusi na wameshindwa kumkabili huyu jamaa na hivyo kutafuta njia mbadala ya kumchonganisha na jirani zake ili wasaidiwe katika kumkabili na hivyo kumuondoa madarakani ili kuendeleza sera zao za kibaguzi.Ni nani ambaye hajui na haoni kasi ya maendeleo iliyopo nchini Rwanda kwa sasa hivi?Mwacheni ajenge nchi yake sababu kwa hali ilipokuwa imefikia nchini Rwanda kama si kwa yeye kujitokeza ninaamini kabisa hali ingekuwa mbaya zaidi ya yale tuliyoshuhudia.Na kila siku iendayo kwa Mungu huwa ninaomba atujaalie Makagame japo wawili tu,mmoja aende Somalia na wa pili aje Tanzania ili kumaliza porojo za mitaani na kurudisha watu katika utekelezaji wa majukumu ya ujenzi wa nchi na kuondoa uzembe usio na maana unaorudisha nyuma maendeleo kwa kisingizio cha demokrasia(Tanzania) na huyu sio wa ukoo wangu(Somalia)Mchawi wetu tunaye wenyewe,tusijaribu kufuata mambo ya nchi jirani kuficha matatizo yetu.I stand to be challenged.
I was shocked, niliposoma kuhisiwa Kagame na CIA kuhusika kwa mauaji ya huyu former Mkugenzi wetu wa TISS. Kipande cha report soma hapa chini na ukitaka report nzima kuhusu oparation za CIA na Ushiriki wa Kagame na Mseven in great lakes.
Report kamili kuhusu US policy on Africa - Blood Money Out Of Africa
...nope...you're Ratko MladićKill one person you are a murderer,kill many people you are a conquerer
....agreed......and as a Country we should NEVER TRUST HIM...........hivi watu wanaifahamu Tutsi and Bahima Empire?