Is President Kagame behind General Imran Kombe's assasination?

Is President Kagame behind General Imran Kombe's assasination?

AND

That being the Case???!!

I repeat ...!! I never Trust President Kagame and will never trust Him against the safety and sovereignty of my Country! I have never felt safe with ... HIM OR HIS COUNTRY AS A NEIGHBOR!!

....agreed......and as a Country we should NEVER TRUST HIM...........hivi watu wanaifahamu Tutsi and Bahima Empire?
 
Ndio maana kuna uzi fulani mwaka jana 2011 nilicommet kuwa adui wa sio Kenya wala Uganda, adui mkubwa wa EA Community ni Rwanda na hasa Kagame.

Nikijaliwa uzima na muda nitawashirikisha dossier fulani.
 
Kagame! Kagame ! nasikia huko sandurst na duruti vyuo alivosoma ni kati ya walofanya vizuri.
 
kama ni kweli waliohusika walikuwa na mkono wa nje kwa nini waliachiwa huru na serikali ya tanzania?, hata wewe jiulize.
 
Tatizo letu tunajua sana kuongea,utekelezaji ni sifuri.Hainiingii akilini kuwa Kagame alihusika na mauaji ya Kombe hata kama habari hiyo itakuwa imetoka CIA.Iliwezekana vipi kwa yeye kupenyeza majasusi wake mpaka wakapanga njama na kutekeleza mauaji hayo bila ya sisi wenyewe kugundua njama hizo.Na kama aliweza kutekeleza yote hayo bila ya watu wetu wa usalama kugundua basi kuna haja tena ya haraka kuunda upya mfumo wetu wa usalama wa Taifa ili tuepukane na mabaya yanayoweza kuja kujitokeza nchini mwetu zaidi ya suala la kifo cha Imran.Kwa mtazamo wangu ninaona kuwa haya yote yanatokana na maadui wa Kagame ambao bado wako katika zama zao za uhutu na utusi na wameshindwa kumkabili huyu jamaa na hivyo kutafuta njia mbadala ya kumchonganisha na jirani zake ili wasaidiwe katika kumkabili na hivyo kumuondoa madarakani ili kuendeleza sera zao za kibaguzi.Ni nani ambaye hajui na haoni kasi ya maendeleo iliyopo nchini Rwanda kwa sasa hivi?Mwacheni ajenge nchi yake sababu kwa hali ilipokuwa imefikia nchini Rwanda kama si kwa yeye kujitokeza ninaamini kabisa hali ingekuwa mbaya zaidi ya yale tuliyoshuhudia.Na kila siku iendayo kwa Mungu huwa ninaomba atujaalie Makagame japo wawili tu,mmoja aende Somalia na wa pili aje Tanzania ili kumaliza porojo za mitaani na kurudisha watu katika utekelezaji wa majukumu ya ujenzi wa nchi na kuondoa uzembe usio na maana unaorudisha nyuma maendeleo kwa kisingizio cha demokrasia(Tanzania) na huyu sio wa ukoo wangu(Somalia)Mchawi wetu tunaye wenyewe,tusijaribu kufuata mambo ya nchi jirani kuficha matatizo yetu.I stand to be challenged.
 
tatizo letu tunajua sana kuongea,utekelezaji ni sifuri.hainiingii akilini kuwa kagame alihusika na mauaji ya kombe hata kama habari hiyo itakuwa imetoka cia.iliwezekana vipi kwa yeye kupenyeza majasusi wake mpaka wakapanga njama na kutekeleza mauaji hayo bila ya sisi wenyewe kugundua njama hizo.na kama aliweza kutekeleza yote hayo bila ya watu wetu wa usalama kugundua basi kuna haja tena ya haraka kuunda upya mfumo wetu wa usalama wa taifa ili tuepukane na mabaya yanayoweza kuja kujitokeza nchini mwetu zaidi ya suala la kifo cha imran.kwa mtazamo wangu ninaona kuwa haya yote yanatokana na maadui wa kagame ambao bado wako katika zama zao za uhutu na utusi na wameshindwa kumkabili huyu jamaa na hivyo kutafuta njia mbadala ya kumchonganisha na jirani zake ili wasaidiwe katika kumkabili na hivyo kumuondoa madarakani ili kuendeleza sera zao za kibaguzi.ni nani ambaye hajui na haoni kasi ya maendeleo iliyopo nchini rwanda kwa sasa hivi?mwacheni ajenge nchi yake sababu kwa hali ilipokuwa imefikia nchini rwanda kama si kwa yeye kujitokeza ninaamini kabisa hali ingekuwa mbaya zaidi ya yale tuliyoshuhudia.na kila siku iendayo kwa mungu huwa ninaomba atujaalie makagame japo wawili tu,mmoja aende somalia na wa pili aje tanzania ili kumaliza porojo za mitaani na kurudisha watu katika utekelezaji wa majukumu ya ujenzi wa nchi na kuondoa uzembe usio na maana unaorudisha nyuma maendeleo kwa kisingizio cha demokrasia(tanzania) na huyu sio wa ukoo wangu(somalia)mchawi wetu tunaye wenyewe,tusijaribu kufuata mambo ya nchi jirani kuficha matatizo yetu.i stand to be challenged.

tena awafunge mafisadi wote papa na mafisadi dagaa wote ambao wanakashfa lakini wanapewa vyeo katika kamati mbalimbali za serikali nabunge!!!!
 
kama ni kweli waliohusika walikuwa na mkono wa nje kwa nini waliachiwa huru na serikali ya tanzania?, hata wewe jiulize.

Mjuni lwambo,
Umesema neno. Katika sheria za Tanzania hakuna msamaha unaotolewa kwa wauaji. Iweje leo watu waliopatikana na hatia ya mauaji ya Kombe wasamehewe na Mkapa? Sina ushahidi lakini naamini serikali ya Mkapa ilihusika katika mauaji ya Kombe.
 
UTANI wako ni mzuri sana KOBA, kama hatutaki aibu tusije dhubutu kumchokoza Kagame, atatuzaire mara moja, mnajua aliyeamua Mobutu Sese seko Ngbendu Wazabanga atimuliwe madarakani? ni Kagame, sisime mengi, lakini ukimgusa Kagame basi ujue umetangaza vita na Uganda, Ethiopia, Israel, Marekani, Uk, na nchi zote zilizoko katika mrengo wa kulia zaidi duniani, na udogo wa nchi yake si neno, Kwani Israel ikiwa na Raia milioni moja si ilipigana vita ya siku sita na mataifa 20 ya kiarabu na baada ya siku hizo Israel ilitanua boda zake na kupata eneo mara nne la nchi hapa awali kabla haijashambulia kwa kuvizia na hao waarabu kwa siri.

Wewe acha masihara. Hujui unaongea nini. Mobutu aliwekwa kwenye cheo na CIA na kutolewa na. CIA. Same applies to Kagame. KAGAME ni asset ya west hasa katika Congo. Kagame hawezi kuzubutu kuleta pua yake kwa watz. TISS inajua mienendo yake yote na informer wake ndio wetu.Pia, Tanzanian hatuna haja ya kujiingiza kwenye vitu ambayo havina maana.
 
Kiukweli Kagame ni muuaji na ana mtandao mkubwa na ni tishio kijeshi kwa nchi za Afrika Mashsriki. Wanaweza kumtumia kufanikisha mambo yao lakini aweza kuwageuka muda wowote.
 
Upo uwezekano mkubwa hapo mbeleni wahusika wa uhalifu mbambali uliofanywa na watawala kufufuliwa na watu kupelekwa kotini kama ilivo sasa huko ulaya inavyofanyika, Kama ulikuwa unafikiri uko salama kwa kufanya uhalifu sasa ama kutumia vibaya madaraka yako ujue uko kwenye hatari ya kufia jela angalieni nani alifikiri Housen Mbarak wa misri yangemfika hayo, na tanzania wapo wengi sana, haikwepeki kwakuwa Mabadiliko ni lazima na huwezi kuzuia
 
It is so easy to join the dots. Mkapa hates the opposition with a passion. That is one dot. Kombe was killed under Mkapa's Presidency,
that is another dot. It is said Kombe was going to join the opposition. Now, that is another dot.


hahaha... Mkuu Jasusi, your dots has left me spellbound... Fascinating.
 
Last edited by a moderator:
Tatizo watanzania tumebaki kuongea tuu... Where are our actions against all these issues? Let us act quickly before the worse come...


Mkuu Kimbweka, taratiibu... tupo baby steps. WaTanzania tumetoka mbali.. tulikuwa watupu kabisa ma mbumbumbu wasiojua lolote lile. Kuongea ni moja ya hizo steps to a better solvent. Walau saizi watu tunafunguka, tunafunguliwa akili nakujua hasa nini kinaendelea. Na sababu always tumekuwa nurtured katika mazingira ya kuwa waoga na kuona viongozi kama ni absolute na some sort of miungu ndio maana bado kuna hizo chembe za woga. In time vitakuja vitendo dhidi ya hayo malalamiko... it when it comes to that there will be no turning back.

Hivo mkuu wacha tuongee, wacha tujulishwe ili tuki react tujuwe hasa ni kwanini tuna react.
 
Tatizo letu tunajua sana kuongea,utekelezaji ni sifuri.Hainiingii akilini kuwa Kagame alihusika na mauaji ya Kombe hata kama habari hiyo itakuwa imetoka CIA.Iliwezekana vipi kwa yeye kupenyeza majasusi wake mpaka wakapanga njama na kutekeleza mauaji hayo bila ya sisi wenyewe kugundua njama hizo.Na kama aliweza kutekeleza yote hayo bila ya watu wetu wa usalama kugundua basi kuna haja tena ya haraka kuunda upya mfumo wetu wa usalama wa Taifa ili tuepukane na mabaya yanayoweza kuja kujitokeza nchini mwetu zaidi ya suala la kifo cha Imran.Kwa mtazamo wangu ninaona kuwa haya yote yanatokana na maadui wa Kagame ambao bado wako katika zama zao za uhutu na utusi na wameshindwa kumkabili huyu jamaa na hivyo kutafuta njia mbadala ya kumchonganisha na jirani zake ili wasaidiwe katika kumkabili na hivyo kumuondoa madarakani ili kuendeleza sera zao za kibaguzi.Ni nani ambaye hajui na haoni kasi ya maendeleo iliyopo nchini Rwanda kwa sasa hivi?Mwacheni ajenge nchi yake sababu kwa hali ilipokuwa imefikia nchini Rwanda kama si kwa yeye kujitokeza ninaamini kabisa hali ingekuwa mbaya zaidi ya yale tuliyoshuhudia.Na kila siku iendayo kwa Mungu huwa ninaomba atujaalie Makagame japo wawili tu,mmoja aende Somalia na wa pili aje Tanzania ili kumaliza porojo za mitaani na kurudisha watu katika utekelezaji wa majukumu ya ujenzi wa nchi na kuondoa uzembe usio na maana unaorudisha nyuma maendeleo kwa kisingizio cha demokrasia(Tanzania) na huyu sio wa ukoo wangu(Somalia)Mchawi wetu tunaye wenyewe,tusijaribu kufuata mambo ya nchi jirani kuficha matatizo yetu.I stand to be challenged.


Hicho ndicho kinamuokoa Kagame katika yale mengi ambayo ni mabaya yanayaongelewa juu yake. Na kwa kweli mengi ya yaongelewao yanaendana sana na ukweli wa mambo. Siwezi lizungumzia sana hili ya Imran maana hadi hapa hio ni vema ikachukuliwa kama ni ‘conspiracy theory’. Hivo I partly agree with your point of view na below naelezea mawazo yangu ya Kagame kuhusishwa na baadhi ya vifo vya baadhi ya viongozi.

Kagame ni raisi ambae kwa kweli anastahili kuwa kiongozi. Anaweza, kaweza na anaendelea kuweza. Katika viongozi wa East Africa naona ni dhahiri kuwa yeye ndie alie bora kuliko wote in terms of Leadership and governance pamoja na kuweza provide hasa yaliyo msingi kwa taifa kwa wananchi wake. Ni mzalendo anapenda nchi yake, ana focus na anajuwa ni nini anakifanya, namna gani akifanye na kwa nini akifanye.... Hata hivo mkuu St. Paka ukichukulia tu kuwa he is absolutely clean itakuwa uongo. Kwanza haiwezekani…

Niseme tu msimamo wangu ni kwamba kama kufanikisha ambayo kafanikisha na anaendelea kufanikisha kulihitaji a few sacrifices za baadhi ya lives za watu then I support him. Of course hapa some watasema I have no right in supporting the death of a being; Ila I ask them kuwa which was better? A few sacrifices za obstacles za hayo maendeleo or an addition to millions of other deaths or worse still another genocide?

For a person of his caliber, na we both know the history of Ruanda na wapi wametoka hadi walipofika. I can confidently say kuwa inatakiwa mtu ambaye ni jasiri, yupo tayari kufanya sacrifices (haijalish ni material ama ni watu or wereva). Kwa nchi ndogo ambayo ilikuwa haina mwelekeo ikapita the worst nightmare it could ever dream of; to have healed, survived and moving on sio lele mama… na yahitaji mtu ambae s/he can do anything to achieve that. If it meant killing obstacles that stood by - by that determination.

Na walau kama Kagame alifanya alifanya for parttiotic purposes as opposed ya baadhi ya rumoured deaths ya baadhi ya wakubwa wetu ambayo it wa because of the so called ufisadi.

Pamoja na hayo whatever the case ipo siku kagame atafikishwa kujibu mashtaka akijaliwa uzima wa mda mrefu for hata afanyeje hawezi kuwa a president forever. Hadi sasa inasemekana it has already been verified kuwa yeye ndio alikwa responsible kwa kifo the Late President Juevenal Habyarimana. Swali ambalo ni la msingi na la kujiuliza kwa wataifa wa Tanzania ni kuwa; Tukitaka kukumboka ile ki ukweli tukawa na uongozi fanisi kama vile Ruanda ilivo itawezekana kweli bila vifo vya baadhi katika Serkali yetu iliyopo kwa kutolewa kafara?

Unaweza pita pitia hii link ya nngu007 https://www.jamiiforums.com/interna...ame-killed-president-juvenal-habyarimana.html
 
Last edited by a moderator:
[QUOTEaa=MTAZAMO;3552162]??????[/QUOTE]

pasteur bizimungu was a ceremonial president behind kagame
 
Pamoja na yote inabidi pia tuzifahamu vema nchi za magharibi na interest zao kabla hatujakubali na kuamini kila claim wanayotoa kwa viongozi wa Africa. Inabid ijulikane wazi kwamba nchi za magharibi zina underground mission kuhakikisha kuwa nchi za Africa haziamki nakuwa na confidence yakufanya mambo yao wenyewe nakujisimamia. Kwasababu hiyo wakiona nchi ambayo inataka kuwa role model kwe fellow African countries wanaanza kutumia media zao na hasa watu wa Amnesty international kupika taarifa zakuitia hiyo nchi hatiani. Mfano mzuri uko kwa Gadafi. Pamoja na kwamba alikuwa na ubaya wake ila haukuwa kwa kile kiwango nchi za magharibi walichoki broadcast na kupanga njama zakumuua. My point is hata kama Kagame anahusika au hahusiki ktk kifo hiki, nchi za Magharibi zimeplan kumchafua na kumdescourage ili kasi ya maendeleo ya Rwanda ishuke na Afrika tulendelee kuwa Puppets wa nchi za magharibi. That is the fact. We have to question everything kabla yakuamini kila wanachosema wazungu ni kweli. Ijulikane kuwa tukiweza kujisimamia na kutawala rasilimali zetu itakuwa ni loss kubwa kwa wazungu na ndiyo maana hata wakitoa support za elimu hawainvents kwenye science and technology wala hawako tayari kutusaidia kwenye upande wa inovation nk. Wazungu si wenzetu ila wanatumia ujinga wetu kujinufaisha na kuboresha maisha ya wazungu wenzao. Africa we need to work up!




I was shocked, niliposoma kuhisiwa Kagame na CIA kuhusika kwa mauaji ya huyu former Mkugenzi wetu wa TISS. Kipande cha report soma hapa chini na ukitaka report nzima kuhusu oparation za CIA na Ushiriki wa Kagame na Mseven in great lakes.



Report kamili kuhusu US policy on Africa - Blood Money Out Of Africa
 
BE WARE OF THE AMERICANS AND THEIR SECRET SERVICE. Hawa wanauwezo wa kuwaaminisha chochote for their personal interests. Ni wakoloni mambo leo. Look at how they tainted Gadaffi's image simply to justify their invasion. Mabepari tu
 
alifanya hivyo kwa faida gani? Kombe alikuwa na nini ambacho kagame anakihitaji mpaka afikie hatua ya kumuua
 
raisi ana mamlaka ya kufuta kifungo cha shtaka lolote.soma katiba na ndio maana tunahitaji katiba mpya ili vipengele kama hivi visiwepo
 
....agreed......and as a Country we should NEVER TRUST HIM...........hivi watu wanaifahamu Tutsi and Bahima Empire?

tutsi empire bado ina exist na ina imani ya kutawala hata nje ya mipaka yao kwa ufupi ndicho anachotaka kuanzisha huyu jamaa
 
Back
Top Bottom