Is President Kagame behind General Imran Kombe's assasination?

Leo BBC wametangaza mwandishi wa habari maarufu wa Rwanda aliyekuwa amekimbilia Uganda ameuawa na watu wasiofahamika!! Kwanini maadui wa Kagame hata walioikimbia Rwanda wanauawa? Mpaka Askofu aliyekimbilia Rome! Inaogopesha sana kwakweli!
KAGAME alisema YEYOTE yule anauyejaribu kuvuruga umoja wa kitaifa atafuatiliwa POPOTE PALE alipo !!
 

Kaka, kuwa mkubwa ndugu yangu - mauaji ya Imran Kombe yako wazi kwa historia
 
Wanasiasa ndio wanayo iharibu Tiss, Tukiweza kutofautisha TISS na CCM basi TISS itakuwa bora kuliko wakati wote
Ni ngumu kufanya hivyo africa ukiacha south africa ambako kiwango cha separation of power/checks and balance kati ya govt branches kwa mana ya rais ,baraza lake,bunge,mahakama na chama cha rais kiko juu ,itawezakana kwa tanzania kama siku watu wakija kuelewa alichokisema prof assad akihojiwa na voa then kikamletea shida,he spoke the reality hasa kwenye eneo la checks and balance na kujenga taasisi imara ambazo zikiwemo hata mbumbumbu anaweza kuwa rais na kumaliza muda wake bila kuharibu nchi,bila kufanya hivyo hata Tundu lissu akiwa rais atatuvuruga tu kwa kutumia mapungufu hayo ya kiwango duni cha separation of powers,mtu mmoja anakua na nguvu nyingi kupita kiasi ambazo zinashawishi sana kuzitumia,ni kikwete tu ndio alikua weak au muoga kuzitumia100%
 
That monents kagame was nothing na alikuwa bado kijana mdogo. Najua watanzania sisi wajinha to maxmum tunasema tu vitu haya hatuvijui, unakita mtu mshipa umemtoka pima.anasimulia.
wakati sokoine anakufa kagame alikua mwanafunzi kwenye chuo cha kijeshi monduli arusha yeye na wenzake walikua wakifadhiliwa na tanzania,kagame ni mtoto wa arusha kabisa anaijua arusha kuliko watz wengi tu,mwenyewe hupaita arusha as his second home
 
ogopa wa tusti yaani hili kabila bado litaendelea kuleta balaa kubwa ukanda wa maziwa makuu. Ukiwaangalia vizuri hawana tofauti na Wasomari na jadi yao ni kupenda kuwa bora zaidi ya watu wengine hasa majirani zao.
Wasomari ndio nani hao Mkuu??
 
Haya mafiga 3 yanatisha sana kwa unyama
In God we Trust
 
Matango pori niliyomezeshwa na wengine pia ni kuwa Lyatonga alikuwa ccm wa kulialia ila alitengenezwa na chama chake kwenda kuuvuruga upinzani na aliweza vizuri kazi hiyo kwahiyo sioni muunganiko wa kifo cha Kombe na habari za siri unazozizungumzia mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yule Spy anayetaka kucheza na mind games aje huku
 

sio kwlei ukibaraka w aMrema umeanza sikuhzi, baada ya njaa kuja, ila mwanzo alipania na alimaanisha, mpaka nyerereb akatoka butiama kupanda jukwaani. "Akisingizia awezi kuachia nchi iende kwa DOGS"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…