MTAZAMO
JF-Expert Member
- Feb 8, 2011
- 19,675
- 33,583
Imepita miaka 8 toka tujadiliane kwenye huu uzi. Hivi Jasusi yuko wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KAGAME alisema YEYOTE yule anauyejaribu kuvuruga umoja wa kitaifa atafuatiliwa POPOTE PALE alipo !!Leo BBC wametangaza mwandishi wa habari maarufu wa Rwanda aliyekuwa amekimbilia Uganda ameuawa na watu wasiofahamika!! Kwanini maadui wa Kagame hata walioikimbia Rwanda wanauawa? Mpaka Askofu aliyekimbilia Rome! Inaogopesha sana kwakweli!
I was shocked, niliposoma kuhisiwa Kagame na CIA kuhusika kwa mauaji ya huyu former Mkugenzi wetu wa TISS. Kipande cha report soma hapa chini na ukitaka report nzima kuhusu oparation za CIA na Ushiriki wa Kagame na Mseven in great lakes.
Report kamili kuhusu US policy on Africa - Blood Money Out Of Africa
Yako wazi kivipi mkuu hebu weka nyama kidogoKaka, kuwa mkubwa ndugu yangu - mauaji ya Imran Kombe yako wazi kwa historia
Akikuwekea nitag TafadhaliYako wazi kivipi mkuu hebu weka nyama kidogo
Ni ngumu kufanya hivyo africa ukiacha south africa ambako kiwango cha separation of power/checks and balance kati ya govt branches kwa mana ya rais ,baraza lake,bunge,mahakama na chama cha rais kiko juu ,itawezakana kwa tanzania kama siku watu wakija kuelewa alichokisema prof assad akihojiwa na voa then kikamletea shida,he spoke the reality hasa kwenye eneo la checks and balance na kujenga taasisi imara ambazo zikiwemo hata mbumbumbu anaweza kuwa rais na kumaliza muda wake bila kuharibu nchi,bila kufanya hivyo hata Tundu lissu akiwa rais atatuvuruga tu kwa kutumia mapungufu hayo ya kiwango duni cha separation of powers,mtu mmoja anakua na nguvu nyingi kupita kiasi ambazo zinashawishi sana kuzitumia,ni kikwete tu ndio alikua weak au muoga kuzitumia100%Wanasiasa ndio wanayo iharibu Tiss, Tukiweza kutofautisha TISS na CCM basi TISS itakuwa bora kuliko wakati wote
wakati sokoine anakufa kagame alikua mwanafunzi kwenye chuo cha kijeshi monduli arusha yeye na wenzake walikua wakifadhiliwa na tanzania,kagame ni mtoto wa arusha kabisa anaijua arusha kuliko watz wengi tu,mwenyewe hupaita arusha as his second homeThat monents kagame was nothing na alikuwa bado kijana mdogo. Najua watanzania sisi wajinha to maxmum tunasema tu vitu haya hatuvijui, unakita mtu mshipa umemtoka pima.anasimulia.
Wasomari ndio nani hao Mkuu??ogopa wa tusti yaani hili kabila bado litaendelea kuleta balaa kubwa ukanda wa maziwa makuu. Ukiwaangalia vizuri hawana tofauti na Wasomari na jadi yao ni kupenda kuwa bora zaidi ya watu wengine hasa majirani zao.
I was shocked, niliposoma kuhisiwa Kagame na CIA kuhusika kwa mauaji ya huyu former Mkugenzi wetu wa TISS. Kipande cha report soma hapa chini na ukitaka report nzima kuhusu oparation za CIA na Ushiriki wa Kagame na Mseven in great lakes.
Report kamili kuhusu US policy on Africa - Blood Money Out Of Africa
Mkuu naona una zaidi ya miaka 10 humu jamvini, 2011 nipo shule heheheheImepita miaka 8 toka tujadiliane kwenye huu uzi. Hivi Jasusi yuko wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Matango pori niliyomezeshwa na wengine pia ni kuwa Lyatonga alikuwa ccm wa kulialia ila alitengenezwa na chama chake kwenda kuuvuruga upinzani na aliweza vizuri kazi hiyo kwahiyo sioni muunganiko wa kifo cha Kombe na habari za siri unazozizungumzia mkuu.Hizo ni assumptions za ki 'intelijensia' ya akina Mwema, lakini ukweli ni kwamba Kombe alikufa (aliuawa) kwa kuhisiwa ndiye akliyekuwa anavujisha habari kwa mpinzani mkuu wa kipindi kile - Bw. Lyatonga Mrema.
Kipindi hicho hadi Mahita alipandishwa cheo kutoka mkuu wa polisi wa mkoa hadi u IGP kwa kazi 'nzuri' aliyofanya kule AR ya kukabili watu waliokuwa wanambeba Mrema, alipiga sana watu mabomu ya machozi na washawasha.
Yule Spy anayetaka kucheza na mind games aje hukuI was shocked, niliposoma kuhisiwa Kagame na CIA kuhusika kwa mauaji ya huyu former Mkugenzi wetu wa TISS. Kipande cha report soma hapa chini na ukitaka report nzima kuhusu oparation za CIA na Ushiriki wa Kagame na Mseven in great lakes.
Report kamili kuhusu US policy on Africa - Blood Money Out Of Africa
Imepita miaka 8 toka tujadiliane kwenye huu uzi. Hivi Jasusi yuko wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Matango pori niliyomezeshwa na wengine pia ni kuwa Lyatonga alikuwa ccm wa kulialia ila alitengenezwa na chama chake kwenda kuuvuruga upinzani na aliweza vizuri kazi hiyo kwahiyo sioni muunganiko wa kifo cha Kombe na habari za siri unazozizungumzia mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app