Is President Kagame behind General Imran Kombe's assasination?

Is President Kagame behind General Imran Kombe's assasination?

Ukijichanganya na viajana wa Rwanda, hawataki kabisa mijadala ya siasa sababu kubwa wanasema ni rais wao

Hilo ni kweli kabisa. Wanaimani Kagame ana macho makubwa kuona dunia muzima, masikio makubwa sana kusikia vyote/kokote, na pua kuuubwa kukunusa ulipo
 
Ndugu Wambandwa, kwa kuweka kumbukumbu vizuri, Mahita alikwa RPC wa Kirimanjaro na si wa Arusha kipindi cha 1994 hadi wakati wa uchaguzi mkuu mwaka 1995 na baadaye kuteuliwa na Mkapa kuwa IGP. Na ni Moshi aliko mpiga mabomu mnafiki Lyatonga
 
Kabla ya kuendelea jiulizeni kuna ripoti ya kombe mlioiona ..mnakumbuka bedui wetu mkapa aliunda tume iko wapi??so makagame yako mengi tu humu nchini mwenu kabla ya kukimbilia kwingine
 
Nadhani Mahita alifanya mengi sana Makubwa na ya Kutisha!, makundi ya ujambazi yaliua watu wengi sana (nadhani) kwa ushirikiano wake
 
Kagame maana yake ni kajitu kakorofi sana!, hajawahi kucheka miaka mingi sana, huwa anatabasam tu tena kidogo, tena katika mambo yasiyochekesha (hasa ya kukejeli). ni bonge la silent killer
 
Hizo ni assumptions za ki 'intelijensia' ya akina Mwema, lakini ukweli ni kwamba Kombe alikufa (aliuawa) kwa kuhisiwa ndiye akliyekuwa anavujisha habari kwa mpinzani mkuu wa kipindi kile - Bw. Lyatonga Mrema.

Kipindi hicho hadi Mahita alipandishwa cheo kutoka mkuu wa polisi wa mkoa hadi u IGP kwa kazi 'nzuri' aliyofanya kule AR ya kukabili watu waliokuwa wanambeba Mrema, alipiga sana watu mabomu ya machozi na washawasha.

Kifo cha Gen Kombe hakihusiani na Mrema. Waliokuwa wanavujisha siri kwa Mrema ni wengi, wengine walikuwa wanafunzi wake huko kwenye system na bado wapo, na kwa taarifa yako walijulikana, hawajauawa. Na hata leo wapo wengi wanaoendelea kuvujisha siri, hawajauawa. Na Mrema mwenyewe mpokea siri hakuuawa! Hili la plot ya Kagame liko more plausible, na report inatisha!
 
ogopa wa tusti yaani hili kabila bado litaendelea kuleta balaa kubwa ukanda wa maziwa makuu. Ukiwaangalia vizuri hawana tofauti na Wasomari na jadi yao ni kupenda kuwa bora zaidi ya watu wengine hasa majirani zao.

hata hivyo ni bora zaidi according to their colonial masters.
 
Bila kusaidiwa na watu wa huku, how could that be?
 
Nampenda sana kagame udictator + killings= economic development

Kigali hakuna hata vibaka......manake kila baada ya hatua thelathini kuna mwanajeshi mwenye bunduki kali ya kivita amesisimama!
 
ana jeshi kubwa sana DRC linalosimamia biashara ya kuzoa madini na kuyapeleka Rwanda
 
Back
Top Bottom