Is President Kagame behind General Imran Kombe's assasination?

Hizo ni assumptions za ki 'intelijensia' ya akina Mwema, lakini ukweli ni kwamba Kombe alikufa (aliuawa) kwa kuhisiwa ndiye akliyekuwa anavujisha habari kwa mpinzani mkuu wa kipindi kile - Bw. Lyatonga Mrema.

Kipindi hicho hadi Mahita alipandishwa cheo kutoka mkuu wa polisi wa mkoa hadi u IGP kwa kazi 'nzuri' aliyofanya kule AR ya kukabili watu waliokuwa wanambeba Mrema, alipiga sana watu mabomu ya machozi na washawasha.
Mrema alikuwa moinzani wa kupandikizwa, alikuwa mtu wa Idara ya Kombe, hata kama angempa taarifa isingeweza kusababisha kifo chake
 
Mwamba hakufurahishwa na kitendo Cha Mzee wa PR kuchukua nchi huku Fred akitapakaa dam, sababu alimjua vizur Mzee wa PR + tamaa ya power aliyokuwa nayo - akaona atakuja kuwa tishio baadae. Hivyo plan ikawa ni kumlaza mapema, mkurungwa akazinda na kumwambia aachane na hiyo plan. Mwamba hakuridhika - akaja na plan ya kum-expose Kwa wabaya wake., Hapo ndipo Mzee wa PR akaapa kumuondoa pindi atakapopata nafasi.

Hatimaye yakajiri yaliyojiri
 
I was shocked, niliposoma kuhisiwa Kagame na CIA kuhusika kwa mauaji ya huyu former Mkugenzi wetu wa TISS. Kipande cha report soma hapa chini na ukitaka report nzima kuhusu oparation za CIA na Ushiriki wa Kagame na Mseven in great lakes.

Report kamili kuhusu US policy on Africa - Blood Money Out Of Africa
Pia kuna sababu ya kuamini kwamba watu kadhaa wenye ujuzi wa njama ya Kagame dhidi ya ndege ya rais wameuawa. Huenda hawa ni pamoja na mkuu wa zamani wa upelelezi wa Tanzania, Meja Jenerali Imran Kombe, aliyeuawa kwa kupigwa risasi na polisi kaskazini mashariki mwa Tanzania baada ya kudhaniwa kuwa mwizi wa magari. Mke wake anashikilia kuwa aliuawa. Kombe alijua sio tu mauaji yaliyopangwa ya marais wa Rwanda na Burundi lakini pia njama dhidi ya Rais Moi wa Kenya na Rais wa Zaire Mobutu. Kuna imani kwamba Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki la Bukavu, Emmanuel Kataliko, aliuawa Oktoba mwaka jana huko Roma na washiriki wa timu ya Rwanda iliyofuata maagizo ya Kagame. Viongozi wengine wa Kitutsi na Wahutu wanaopinga utawala wa Kagame wanaendelea kukimbia Rwanda hadi Marekani na Ufaransa kwa kuhofia maisha yao. Rais Mhutu wa Rwanda Pasteur Bizimungu alilazimika kujiuzulu mwaka jana kwa shinikizo kutoka kwa mamlaka pekee nchini Rwanda, aliyekuwa Makamu wake wa Rais, Paul Kagame. Deus Kagiraneza, afisa wa zamani wa ujasusi katika Kurugenzi ya Ujasusi ya Kijeshi ya Kagame (DMI), Gavana wa muda wa jimbo la Ruhengeri, na mbunge, sasa yuko uhamishoni nchini Ubelgiji. Anashutumu kuwa serikali kuu ya Kagame na wanajeshi wanahusika kuwatesa na kuwanyonga wapinzani wao wa kisiasa. Kagiraneza anashikilia kuwa RPF imekuwa ikifuata sera hizo tangu wakati wa uvamizi wa Rwanda mwaka 1990 kutoka Uganda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila mkuu ulivyoiandika waweza dhani matukio yote yametokea jana
 
Sijui kama hapa kwetu kuna kitu kama FREEDOM OF INFORMATION ACT; ambayo ingeweza kutupa fulsa kujua matokeo ya tume nyingi za serikari baada ya muda fulani kupita.
Mkuu Bule, Bulesi , Tanzania tunazo sheria mbili za freedom of information ACT tunaiita access to information Mwamba JPM aliipitisha kwa hati ya dharura ile 2016 pamoja sheria yetu ya habari. Pia tuna sheria ya National Archives ambapo classified na secret documents zinakuwa declasified after 30 years.

Unachotakiwa kufanya ni kuandika barua na kuomba information yoyote kuhusu jambo lolote ukieleza unaihitaji hiyo information ili kuifanyia nini, au kwa ajili gani?.

Utajibiwa ndani ya 30 days.

Kama ni declassified information or secret information unaziomba kule National Achives, kwa barua.

Kama information unayotaka ni top secret, wakijiridhisha unahitaji just to be informed only, unaingizwa kwenye chumba maalum cha scanner kjku scan usije kuwa na any recording devices, any metal itaiacha kwenye safe deposit, saa, mkanda, simu, kalamu, utaruhusiwa kuingia na miwani tuu tena baada ya miwani hiyo kukaguliwa haina secret camera.

Then utapelekwa chumba maalum accompanied, utaletewa hiyo top secret document kuisoma, ukitosheka inarudishwa, wewe unarejeshewa items zako, unaondoka. Unakumbushwa huruhusiwi kushare top secret info.

Kwa declassified secret documents or confidential documents, ambazo zimekuwa declassified after 30 years, zinakuwa open for public na unaruhusiwa ku photo copy na kuzifanyia chochote, ila
Kwanza wahusika wote waliotajwa kwenye hiyo document lazima wawe wameisha kufa. Kama kuna yoyote yuko hai, then the documents is not open for public. Hivyo mfano sasa documents za utawala wa Nyerere ni declassified. Document za utawala wa Mwinyi zinakuwa declassified mwaka 2025 ila zinazomhusu rais Mwinyi mwenyewe, haziwi declassified unless kama by that time atakuwa....

Declassified documents zinazoweza kusababisha criminal liabilities or civil suits haziwi open to public.

Declassified documents zinazo weza kuwa threat to national security, haziwi open to public

Declassified documents zenye personal details za watendaji, haziwi open to public.

Military Achives, TISS archives na Presidential Archives are not open to public.
Ni miaka 50 toka tupate uhuru wetu wa bendera na katika muda wote huu kumeundwa tume nyingi sana ambazo kazi zake zimefungiwa kwenye sefu na wananchi hatujaweza kujua ukweli uliopatikana na tume hizo.
Taarifa zote zipo tuu, andika kuziomba!.
Mfano mzuri ni huu wa tume iliyoundwa kuchunguza kifo cha aliyekuwa mkuu wa usalama wa Taifa hayati General Imran kombe; mpaka leo uchunguzi wa tume ile umekuwa siri na watu wamebakia kuhisi tu kuwa fulani ndiye aliyehusika na mpaka wengine wanahusisha kifo chake na GENOCIDE YA RWANDA!!
Kama ni tume ya ki TISS, matokeo not public or Tume za Rais under presidential Archives are not open to public.
Sasa kama tungekuwa na hiyo sheria muda mrefu umepita toka maafa yamkute Imran na leo hii tungekwenda kwenye archives na kusoma ripoti ya tume ile na kujua ukweli wa mambo.
Nenda tuu kaombe, pale Upanga nyuma ya UNICEF ya zamani, na Dodoma.

Kitu kizuri kuhusu Archives zetu, documents zote za utawala wa Mjerumani, Mwingeteza na Nyerere, zimekuwa digitized, hivyo umiomba document yoyote ni unaipata ndani ya dakika sifuri!.

Kitu cha ajabu kabisa kuhusu national Archives, Mtanzania nilijikuta niko pekee yangu!, wengine wote ni wazungu!, na mimi nilikwenda kuuomba Articles of the Union between Tanganyika and Zanzibar, sikuzikuta sikuamini!.

Siku ile Bunge la Katiba limeomba Mkataba wa Muungano, likaletewa Sheria ya Muungano, Union ACT, hivyo naweza kusema ni mimi nilisaidia kulifungua macho Bunge la katiba Bunge Maalum Lapigwa Changa la Macho!? Lapewa"Act of Union" na Kudanganywa ni "Articles of Union"!.

Niliyajua hayo kwenye Je, Wajua Kuwa Tanzania Hatuna Mkataba wa Muungano?. Kilichopo ni Makubaliano Tuu ya Muungano?

na Je, wajua kuwa kuna uwezekano Tanzania sio nchi halali Kisheria (De Jure) Bali ni De Factor?!

P
 
I was shocked, niliposoma kuhisiwa Kagame na CIA kuhusika kwa mauaji ya huyu former Mkugenzi wetu wa TISS. Kipande cha report soma hapa chini na ukitaka report nzima kuhusu oparation za CIA na Ushiriki wa Kagame na Mseven in great lakes.

Report kamili kuhusu US policy on Africa - Blood Money Out Of Africa
Changamoto za kazi.
 
Mm namkubali sana kagame, inabidi tumpe tz aitawale wale wala rushwa watanyooka mamaaaae
 
Mkuu Bule, Bulesi , Tanzania tunazo sheria mbili za freedom of information ACT tunaiita access to information Mwamba JPM aliipitisha kwa hati ya dharura ile 2016 pamoja sheria yetu ya habari. Pia tuna sheria ya National Archives ambapo classified na secret documents zinakuwa declasified after 30 years.

Unachotakiwa kufanya ni kuandika barua na kuomba information yoyote kuhusu jambo lolote ukieleza unaihitaji hiyo information ili kuifanyia nini, au kwa ajili gani?.

Utajibiwa ndani ya 30 days.

Kama ni declassified information or secret information unaziomba kule National Achives, kwa barua.

Kama information unayotaka ni top secret, wakijiridhisha unahitaji just to be informed only, unaingizwa kwenye chumba maalum cha scanner kjku scan usije kuwa na any recording devices, any metal itaiacha kwenye safe deposit, saa, mkanda, simu, kalamu, utaruhusiwa kuingia na miwani tuu tena baada ya miwani hiyo kukaguliwa haina secret camera.

Then utapelekwa chumba maalum accompanied, utaletewa hiyo top secret document kuisoma, ukitosheka inarudishwa, wewe unarejeshewa items zako, unaondoka. Unakumbushwa huruhusiwi kushare top secret info.

Kwa declassified secret documents or confidential documents, ambazo zimekuwa declassified after 30 years, zinakuwa open for public na unaruhusiwa ku photo copy na kuzifanyia chochote, ila
Kwanza wahusika wote waliotajwa kwenye hiyo document lazima wawe wameisha kufa. Kama kuna yoyote yuko hai, then the documents is not open for public. Hivyo mfano sasa documents za utawala wa Nyerere ni declassified. Document za utawala wa Mwinyi zinakuwa declassified mwaka 2025 ila zinazomhusu rais Mwinyi mwenyewe, haziwi declassified unless kama by that time atakuwa....

Declassified documents zinazoweza kusababisha criminal liabilities or civil suits haziwi open to public.

Declassified documents zinazo weza kuwa threat to national security, haziwi open to public

Declassified documents zenye personal details za watendaji, haziwi open to public.

Military Achives, TISS archives na Presidential Archives are not open to public.

Taarifa zote zipo tuu, andika kuziomba!.

Kama ni tume ya ki TISS, matokeo not public or Tume za Rais under presidential Archives are not open to public.

Nenda tuu kaombe, pale Upanga nyuma ya UNICEF ya zamani, na Dodoma.

Kitu kizuri kuhusu Archives zetu, documents zote za utawala wa Mjerumani, Mwingeteza na Nyerere, zimekuwa digitized, hivyo umiomba document yoyote ni unaipata ndani ya dakika sifuri!.

Kitu cha ajabu kabisa kuhusu national Archives, Mtanzania nilijikuta niko pekee yangu!, wengine wote ni wazungu!, na mimi nilikwenda kuuomba Articles of the Union between Tanganyika and Zanzibar, sikuzikuta sikuamini!.

Siku ile Bunge la Katiba limeomba Mkataba wa Muungano, likaletewa Sheria ya Muungano, Union ACT, hivyo naweza kusema ni mimi nilisaidia kulifungua macho Bunge la katiba Bunge Maalum Lapigwa Changa la Macho!? Lapewa"Act of Union" na Kudanganywa ni "Articles of Union"!.

Niliyajua hayo kwenye Je, Wajua Kuwa Tanzania Hatuna Mkataba wa Muungano?. Kilichopo ni Makubaliano Tuu ya Muungano?

na Je, wajua kuwa kuna uwezekano Tanzania sio nchi halali Kisheria (De Jure) Bali ni De Factor?!

P
Mkuu ulipotea sana, na ukweli nilikumiss kinazi
 
I was shocked, niliposoma kuhisiwa Kagame na CIA kuhusika kwa mauaji ya huyu former Mkugenzi wetu wa TISS. Kipande cha report soma hapa chini na ukitaka report nzima kuhusu oparation za CIA na Ushiriki wa Kagame na Mseven in great lakes.

Report kamili kuhusu US policy on Africa - Blood Money Out Of Africa
Mkuu
Nimefungua link

Aisee inahitaji kuisoma hii report kwa umakini sana.

Najiuliza TISS wetu ambao kutwa wsnahaha kututafuta mitandaoni kwa order za wakubwa, huwa wanapata wasaa wa kupitia hizi report na kuzichakata?

Je mavi ya kale ni kweli hayanuki?
 
Back
Top Bottom