Is President Magufuli an isolationist?


In emergency situations you don’t really need scheduling that much.
 
Jumuiya za nini kama hamshauriani pamoja?
Hata kama hamkubaliani katika kila maamuzi,vikao vya pamoja ni muhimu sana kwa uhai wa jumuiya.
 
Word on the street is JPM is on vacay. President's need to chill out too, after weeks and months of prepping speeches and barking orders.
 
Kuamua kufunga au kutofunga nchi ni suala la nchi binafsi lakini ni muhimu ushauriane na wenzako jinsi gani mtaratibu movements za watu na bidhaa kati ya nchi na nchi.
Hata The Towel guy alipojifanyisha anaumwa Corona alirudi kuwaomba fans wake Wa Nigeria msamaha na wakamsamehe kwa shingo upande,angeweza kukaa kimya tu.
 
Matokeo yako yakuhoji yanabainisha vipi weledi wako,ikiwa kama mwenye weledi hajui weledi wa kupata weledi stahiki ili kuitimisha weledi hakiki...????
Sujaelewa hata chembe

Jr[emoji769]
 
Hata Burundi hawakiwepo

Stay home, stay safe
Corona kills
 
... lile swali la mzungu kule Uganda kipindi kile lilim-put off completely! Since then confidence ilianza kupotea taratibu to its lowest level recently! Wanasaikolojia mtuambie.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Lile swali Yan Dah, lilifanya Mtu aone manyotanyota, Kichwa kikapiga kengele za hatari na kuzizima πŸ’€πŸ’€πŸ’€πŸ˜€
 
Umesema ukweli kabisa. The guy is just useless in discussion or debait, no matter what language he is using. Nadhani hata kwa kisukuma atakuwa anatoa OP tu. Halafu ''humour'' zake anazojaribu kuweka kwenye hotuba au maongezi yake ni za kishamba kweli kweli. Zimejaa sexism na matusi ya kimbugwe-mbugwe tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…