Is President Magufuli an isolationist?

Still he could present his ideas, probably would sound better as his counterparts would have some thing to learn/pick

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anahitaji computer yenye internet tu, basi. Naamini popote aliko kama kiongozi wa nchi mawasiliano ya mtandao lazima yatakuwapo.
 
Jamani tunaongelea kuhusu mkuu wa nchi ya Tanzania, naamini popote anapoenda kukaa, wahusika lazima wamuhakikishie mawasiliano na vifaa vyamawasiliano vya kutosha na vyenye uhakika. Juzi alifanya mkutano na wanajeshi na kuapisha Waziri mbona kila kitu kilienda sawa.
Siamini pia kuwa lugha ni tatizo, angeweza kutumia Kiswahili na wengine wakatafsiri, after all majority kwenye that meeting wanaongea Kiswahili, mawasiliano yasingekuwa shida kabisa.
 

Nyani hao wote waliishaanza dharau kwa JPM!!..maamuzi yao na nchi zao walifanya wao binafsi na wameleta propaganda baadae.kenya na uganda serikali zao zishawatukana na kumtenga Tanzania na Burundi

Approach sio lazima iwe moja!!

Sweden haina lockdown hata leo hii!!

Mtukane matusi yote, we have very few months kuanza kulaumiana

Lockdown will never work dunia ya tatu, na haijawork dunia ya kwanza.Consequences zake ni kubwa mno

Covid haitaondoka popote pale duniani

So before sayings all these kind of words uonekane mjanja,genius, unajali, uko firm,mkali...Tafuta kujua how much did they involve us in the decision prior lockdown?? Au walikurupuka wakafanya lockdown huku wakimtukana JPM wakiwa ndani ya lockdown ndio wakamkumbuka JPM?

Is lockdown successfu kwa hizo region? Waulize watalift lockdown lini? Corona itaisha lini? Wakiacha lockdown itakuwa imeisha?

Ikija second wave of covid wataingia ndani tena? Unajua viwanda vingapi vimefungwa? Unajua kutakuwa na baa la njaa africa na dunia kwa hili tukio?

Hakuna njia moja kwa tatizo moja, ndio maana sijasikia watu wakiisema sweden ambayo isha flaten curve na raia wake wameisha acquire "herd immunity"?? Iko, haikufunga shule wala vyuo na haijaathirika kiuchumi

Binadamu tunaishi na billions of virus and bacteria na hapo ulipokaa USA unavyo vingi na wewe ni creature dunia hii unaishi navyo tu!! Vinavyoleta madhara kutokana na immunity ndio unafanya uumwe au la!! Lakini bado same bacteria anaweza kuja kwangu na asilete shida yoyote! Its nature

Before lockdown Kenya na uganda wangekaa sawa, washaleta damage zote hizo na leo wakiwa ndani ya lockdown wanaitisha kikao kuonekana wajanja? Kutaka kujiponya na vipondo vya raia wao? Walianza wao wamalize. Utakuja kusema hapa kuwa JPM did the best decision ever

Acha kuwa shortsighted na ukafuata mkumbo wa kutaka likes na thanks, unazo za kutosha tangu miaka yako tangu 2007, be matured
 
Hivi unajua kiswahili kuwa in lugha rasmi ya mikutano yote ya nchi za SADC na Afrika mashariki na umoja Wa nchi zote za Africa yaani Afrikan Union? Naona uko bado unaota mkoloni mwingereza hata hujua development s poor you chadema
Nakushauri utumie Kiswahili YEHODAYA .
 
I am an invalid not in the language alone, but in a number of aspects which could act as a stumbling block for me. Could you kindly make the language more simpler for easy communication and delivery of the intended message.

Utajuaje anakaa USA? Na atapataje followers bila kuweka kejeli?
 
Bado kwa waves ya covid, hawakuwa na lockdown mkuu

Kwa kifupi hawana lockdown, hata sisi tumechukua 101 measurew zote

Hauwezi zuia watu wakatoka mji mmoja kwenda mwingine TZ will never work mkuu. Unajua wastaafu wanayafuata ma file yao ya malipo manually dodoma??
 

Je, tuna uhakika kura zetu ndio zinaamua nani awe rais, mbunge etc.?
 

Thanks, you nailed it.
 
Kabisa, tatizo sio kuhutubia kwa kiingereza bali kujadiliana! Ni sawa na kufundisha kwa kiingereza vs kufanya mijadala kwa kiingereza, ni vitu viwili tofauti

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Dunia nzima wanajuta why they did lockdown, na experts kibao wanasema wanasiasa walikirupuka sweden wana theory ya "herd immunity"

South korea, tajistan hawakuwa na lockdown

Sisi bado kuna wajinga wanadhani that was the only solution.

Athari kidogo tu za dunia kufungwa sukari hamna, supermarket ziko empty n.k

Kila muumini wa lockdown hajui corona inaisha lini, na wakitoka mafichoni hawatakutana nayo? Itakuwa haipo kabisa?

😂😂
 
The Covd-19 disaster is a global threat, and could affect the ability of all governments around the world and force other ministries to be absent because there is no money to run those ministries.

there is also the possibility of severe famine that has not occurred since the creation of the Universe, so it is better that our governments now buy more food to save the food shortage
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…