chikutentema
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 7,694
- 4,954
Perhaps the meetings themselves he considers irrelevant to his Nation, to say that English is the problem is not true
Sasa kama haamini kuwa kama hili gonjwa ni tatizo kubwa yey yupo wapi...?/ Si tungemuona ikulu au akizunguka kukagua miradi yake...?// Au Corona ni tatizo kubwa kwawe ila kwa wananchi wake ni tatizo dogo...?So far yupo consistent. Haamini kama hili gonjwa ni tatizo kubwa. Kwa nini maraisi wapoteze muda kujadiliana vitu ambavyo ni non-issues?
Chapeni kazi, wacheni kucheza ngoma ya mabeberu!
... waliokimbia debates enzi zileeeee utawajua tu! Mijadala hata ikiwa kwa Kiswahili sio mchezo; sio sawa na kuwafokea sub-ordinates wako au kutoa amri. Unajadiliana na watu wa level yako na wengine wasio raia wako so they discuss issues and ask questions with free minds na unatakiwa utoe majibu sahihi na fasaha on the spot! Kama brain haijatulia, hapo ndipo shughuli ilipo.English sio tatizo,kwenye mkutano wa SADC uliopita uliofanyika Tanzania alitoa speech kwa kingereza nzuri tu..tatizo ana hofu ya kujadiliana..ushawahi kuulizwa maswali kwa kingereza??weeee acha kabisa 🤣🤣..the problem is kwa topics kama hizi ndio kabisaaa zinamfanya aendelee kujiona inferior..ila ni vizuri aisee maana atafikiria njia ya kupindua elimu yetu itoe wahitimu wanaojiamini...
Ukiona majirani zako hata unapoishi ww Graph Theory hawakushirikishi kwenye viakao vyao ukiwa na ww ni mwanajamii katika mahali husika, unatakiwa ujiulize , kuna mahali unakosea au unamatatizo binafsiDid the presidents(of Kenya, Uganda, Randwa and South Sudan) invite Dr Magufuli in the meeting? How if the meeting was made without inviting the Tanzania president.
Before you ask all these questions you need to ask yourself are his priorities aligned with those of the EAC and SADC leaders?I am anti-stupidity and pro-intelligence. Anti-foolishness and pro-common sense.
Having said that, I’m not here to cape for Magufuli on just about anything and everything.
I look at issues on a case by case basis.
Today, the East African Community heads of state held a virtual meeting sans President Magufuli.
Last week SADC did the same.
President Magufuli has missed several of these types of meetings a number of times now.
Is he an isolationist?
It’s hard to make sense of his absences. Like for example, what made him miss today’s virtual gathering?
Did he have an over-packed docket of things to do [wherever he is at]?
Just downright bizarre!
As trivial as it may sound, maybe there’s some truth to what some people think could be the reason for him skipping these meetings - English.
Maybe he is so self-conscious about his English speaking proficiency and he can’t handle being dragged for it afterwards.
If that’s not the case, then what is it?
To me it doesn’t make any sense why he would skip on these types of meetings especially at a critical time as now.
Can anybody make sense of this nonsense?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok.Siyo kila kitu ni sheria.
Hivyo, kila kilicho kibaya si lazima kihusiane na kuvunjwa sheria.
Soma katikati ya mistari, utanielewa tu brother! Kuna mambo siwezi kuyatetea.Sasa kama haamini kuwa kama hili gonjwa ni tatizo kubwa yey yupo wapi...?/ Si tungemuona ikulu au akizunguka kukagua miradi yake...?// Au Corona ni tatizo kubwa kwawe ila kwa wananchi wake ni tatizo dogo...?
ifike mahali mnapotetea muwe manjiuliza maswali ambayo yanaweza jotokeza mbeleni mkakosa majibu.
Tatizo Lugha inayotumika kwenye huo mkutano inamchenga kidogo mzee wetu...
Nadhani msimamo aliochukua kukabiliana na hili janga ambao ni tofauti na mataifa mengi (kukataa lockdown) ndio unaomfanya asihudhurie hii mikutano.
To majority Tanzanians is a non issue except to few chadema members of Parliament who does not represent majority of TanzaniansSo far yupo consistent. Haamini kama hili gonjwa ni tatizo kubwa. Kwa nini maraisi wapoteze muda kujadiliana vitu ambavyo ni non-issues?
Chapeni kazi, wacheni kucheza ngoma ya mabeberu!
Kiingereza hiki ni kibovu sana, CCM mnakwama wapi?We Tanzanians that is what we want President Magufuli represents the views of the majority Tanzanians .Majority don't want want lock down they are ready to die with corona not hunger
... excellent! Wewe mkazo wako ni kwenye uchumi wao mkazo ni kwenye afya za wananchi; kwanini msijadiliane kubadilishana uzoefu? Au kutafuta mbinu za ku-balance the two - uchumi vs afya? I believe wangetoka na makubaliano ya pamoja ambayo yange-balance hizo issues mbili muhimu.Mkuu kama yuko against lockdown then angeweza kuweka mawazo yake across labda viongozi wenzake wangejifunza kutoka kwake...achene kumtetea bana..majadiliano ndio ishu which is understandable.