Is President Magufuli an isolationist?

Is President Magufuli an isolationist?

Kwani Nyani Ngabu kiswahili huwezi?
Mbona unawasilisha mada kwa English?

Kuna uwezekano mkubwa kuna mambo yapo sirini hatuyajui maana mambo ni vururu mpaka sasa.
 
Magufuli can’t proficiently converse in English.

But to me that’s not a big deal..

English is just a medium of communication just like any other language.

If Magufuli is not conversant in English, that’s fine. He can use Kiswahili.

Narendra Modi speaks very good English but oftentimes, he opts for Hindi.

Magufuli can use Kiswahili. There’s nothing wrong with it. No shame in it.
Chances are, as we here debating about this guy, he might be on bed fighting for his life.

kush na Wisdom
 
Kama yuko chato maana yake hakuna video conference system, inategemea na sehemu alipo kwa sasa. Hata Dodoma ni makao makuu mapya sijui na sina uhakika kama kuna video conference system katika ofisi yake, cha muhimu tuulize Magufuli yuko wapi?. Kuhusu corona hatua zetu za ndani ni hafifu sana, serikali ichukue hatua ,mfano upimaji wa corona mipakani na kusisitiza raia kuepuka sehemu za misongamano na kuvaa barakoa kwa kila raia, tusipoteze muda kubishana na vipimo tuchukue tahadhari na tuwaelimishe wananchi wetu walau itasaidia kupunguza maambukizi ndani ya nchi kama hatua zingine zimetushinda, Rais aepuke matamshi ya yanayo kinzana na maelekezo ya watalaam wa afya, na aache kuisemea dunia yeye ajikite kutatua matatizo ya nchi yake.
Huo ni uongo mimi nimefanya video conference nikiwa Kasulu, Manyovu,Urambo kwa laptop yangu tu na simu tena kipindi hicho hata internet ya 4G haikuwepo, ilikuwa ni 3G tena kwa kuunga unga na platform maalumu ilikuwa ni Skype. Siku hizi platform za mikutano zipo nyingi na zimeboreshwa, kama mimi kapuku nilikuwa na intaneti nzuri huko mikoani yeye kweli anashindwa kupata mtandao mzuri na salama kwa ajili ya kufanya mkutano muhimu na kulinda mahusiano ya kidiplomasia ?
 
Hivi virtual meetings kupitia Zoom/Skype unadhani kunahitaji sijui conference system ya aina gani?

Mbona unafanya Virtual meetings zionekane ni kazi ngumi kama vile kuhamisha vifaa vya wakandarasi site aisee.

Sikubaliani na Magufuli anavyo handle corona au kutoshiriki mikutano na viongozi wenzie, hoja yangu ni mazingira ambayo aliko Magufuli yanamfanya ashindwe kujadiliana nao . Rais wa nchi hawezi fanya mikutano kwa njia skype, its not safe to national security, skype tunafanya sisi ambao hatuna impacts yeyote kwa Taifa. Zoom inategemea inategemea na system wanayotumia wote ni cloud based system which you can book voice/video conference in the system and share a link to President, hapa hatujui kama invitations ilitumwa au haukutumwa kwenda kwake, au hawana hii system ni kumlaumu bure or still organizer wa hiyo meeting angeweza to invite Magufuli through his mobile number ,so inategemea na system wanayotumia .
 
Kwani Nyani Ngabu kiswahili huwezi?
Mbona unawasilisha mada kwa English?

Kuna uwezekano mkubwa kuna mambo yapo sirini hatuyajui maana mambo ni vururu mpaka sasa.
Hujawahi ona mada zangu zilizo kwa Kiswahili?

Nijuavyo, lugha zote mbili, yaani Kiswahili na Kiingereza, ndo lugha zitumikazo hapa JF.

Hivyo, ni suala la uamuzi tu.

Mimi nimeamua kuandika kwa Kiingereza.

Unaona kuna tatizo kwani?
 
I am anti-stupidity and pro-intelligence. Anti-foolishness and pro-common sense.

Having said that, I’m not here to cape for Magufuli on just about anything and everything.

I look at issues on a case by case basis.

Today, the East African Community heads of state held a virtual meeting sans President Magufuli.

Last week SADC did the same.

President Magufuli has missed several of these types of meetings a number of times now.

Is he an isolationist?

It’s hard to make sense of his absences. Like for example, what made him miss today’s virtual gathering?

Did he have an over-packed docket of things to do [wherever he is at]?

Just downright bizarre!

As trivial as it may sound, maybe there’s some truth to what some people think could be the reason for him skipping these meetings - English.

Maybe he is so self-conscious about his English speaking proficiency and he can’t handle being dragged for it afterwards.

If that’s not the case, then what is it?

To me it doesn’t make any sense why he would skip on these types of meetings especially at a critical time as now.

Can anybody make sense of this nonsense?

Sent using Jamii Forums mobile app
If someone has decided to isolate himself to his own village (for over six weeks period), what do you expect....!!?

I might be too naive but something does not add up .....!!
 
Hajavunja sheria.
Sasa chujulia mifano hii.
Familia yako imefiwa hujaenda kwenye kilio.
Ndugu zako wamekubaliana kukutana wewe hukuenda.
Majirani wamealikana kukutana kuongelea jambo la ujirani haupo.
Vipi hapo utakuwa umevunja sheria au?

Sent using Jamii Forums mobile app

Absolutely superb analogy!
 
Hujawahi ona mada zangu zilizo kwa Kiswahili?

Nijuavyo, lugha zote mbili, yaani Kiswahili na Kiingereza, ndo lugha zitumikazo hapa JF.

Hivyo, ni suala la uamuzi tu.

Mimi nimeamua kuandika kwa Kiingereza.

Unaona kuna tatizo kwani?
Tatizo lipo kwa unaemuuliza kama ana tatizo la lugha...
Wangefanya mkutano kwa kisukuma angeshiriki tu.

Hata hivyo kuna yaliyo sirini juu ya sakata la covid19 na reactions za mataifa, majirani na wananchi dhidi ya kiongozi alie mapumzikoni Chato
 
Ukweli nikuwa mzee kingereza ajui.
Wewe ni mpumbavu huijui SADC nchi za SaDC sio zote zinaongea kiingereza mfano Msumbiji na Angola ni nchi za SADC lugha yao kireno nchi ya Congo ni member Wa SADC hawaongei kingereza wanaongea kifaransa sio kingereza!!! Wewe kusomeshwa na wazazi wako English medium kwa hiyo unadhani Nchi zote za SADC ambazo Raisi wetu ndio mwenyekiti wake viongozi maraisi wrote wanaongea kiiingereza!!! Halafu hukui kuwa Lissa hill in Lugha iliyoidhinishwa kutumika mikutano ypte ya SADC na African Union poor you chadema pole
 
Hana cha kuchangia huyo Mzee Labda ingekuwepo mada ya MABEBERU au Chadema ungeliona limefulumuka toka mafichoni. MABEBERU wanamsaidia hadi kujenga vyoo shuleni halafu linadanganya Wajinga kila siku Ooh napambana na MABEBERU.
This man lacks what we call in English being resourceful leader. Very primitive believing in power of Magic.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I am anti-stupidity and pro-intelligence. Anti-foolishness and pro-common sense.

Having said that, I’m not here to cape for Magufuli on just about anything and everything.

I look at issues on a case by case basis.

Today, the East African Community heads of state held a virtual meeting sans President Magufuli.

Last week SADC did the same.

President Magufuli has missed several of these types of meetings a number of times now.

Is he an isolationist?

It’s hard to make sense of his absences. Like for example, what made him miss today’s virtual gathering?

Did he have an over-packed docket of things to do [wherever he is at]?

Just downright bizarre!

As trivial as it may sound, maybe there’s some truth to what some people think could be the reason for him skipping these meetings - English.

Maybe he is so self-conscious about his English speaking proficiency and he can’t handle being dragged for it afterwards.

If that’s not the case, then what is it?

To me it doesn’t make any sense why he would skip on these types of meetings especially at a critical time as now.

Can anybody make sense of this nonsense?

Sent using Jamii Forums mobile app

..i find this issue to be a little more complicated.

..Yes, John Pombe Joseph Magufuli, the President of URT, could be an isolationist.

..BUT, our country, Tanzania, should not be an isolationist.

..If you remember back in the days, during the Soviet Union, their leaders rarely engaged other countries, it was their Foreign Minister Andrei Gromyko who traveled the world to promote Soviet Union's interests.

..So if Magufuli, for whatever reasons is incapable of meeting with foreign leaders, why cant he assign those duties to his deputies like VP Samia Suluhu,PM Kassim Majaliwa?

..We could even postulate that President Magufuli is bunkered down in Chato, and connectivity is a problem there, so he could not participate in the said video-conference. Now, is connectivity an issue in Dodoma? Is it an issue in Dar?

..I think the issue here is beyond him not being fluent in English, or being an isolationist. I am tempted to think that there is paralysis somewhere. The government is not functioning as it should. That we are in a " new territory ", so to speak, and because of his character, and modus operandi, bwana mkubwa hapati ushauri mzuri ktk masuala mazito kipindi hiki ameji-isolate.
 
Tatizo lipo kwa unaemuuliza kama ana tatizo la lugha...
Wangefanya mkutano kwa kisukuma angeshiriki tu.

Hata hivyo kuna yaliyo sirini juu ya sakata la covid19 na reactions za mataifa, majirani na wananchi dhidi ya kiongozi alie mapumzikoni Chato

Ukisoma vizuri [bila hata kusoma kwa umakini wa kiwango cha juu], utaona kuwa sijamwuliza moja kwa moja mtajwa.

Nimeuliza tu kiujumla.
 
Ukweli nikuwa mzee kingereza ajui.

Haipandi juu kwamba mwenye DIGRII YA UZAMIVU (PhD) alafu umekua MWALIMU na hapa sio wa KISWAHILI bali ni wa CHEMISTRY alafu haujui ENGLISH kwa nchi zitumiayo hiyo lugha! Huko kote kulipitwaje? Au zao la wanafunzi ndo typical kama yule mvaa bendera alotumbuliwa! Hiyo mechanism ya kutafuta sampuli hizi kiuongozi ni angamizi.
 
Did the presidents(of Kenya, Uganda, Randwa and South Sudan) invite Dr Magufuli in the meeting? How if the meeting was made without inviting the Tanzania president.
Hilo nalo tatizo. Kwa nini Rais Magufuli asialikwe?
 
Back
Top Bottom