Is President Magufuli an isolationist?

Is President Magufuli an isolationist?

Sikubaliani na Magufuli anavyo handle corona au kutoshiriki mikutano na viongozi wenzie, hoja yangu ni mazingira ambayo aliko Magufuli yanamfanya ashindwe kujadiliana nao . Rais wa nchi hawezi fanya mikutano kwa njia skype, its not safe to national security, skype tunafanya sisi ambao hatuna impacts yeyote kwa Taifa. Zoom inategemea inategemea na system wanayotumia wote ni cloud based system which you can book voice/video conference in the system and share a link to President, hapa hatujui kama invitations ilitumwa au haukutumwa kwenda kwake, au hawana hii system ni kumlaumu bure or still organizer wa hiyo meeting angeweza to invite Magufuli through his mobile number ,so inategemea na system wanayotumia .
Mlitaka corona iwe handle vp?
Kama lockdown serikali waliona Haiwezekani kuwafungia watu maana wengine Hali zao za kimaisha kupata pesa mpaka watoke?
Hebu tuangalie pande zote mbili

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
eThe only problem I see here is; Yu people wants him to expain to yu in details his plans and everything even before his acts. That is not governance. Kwanza keshasema Hafundishwi hivyo mtangoja sana.;
Wewsha mu isolate wenyewe bila kumsikiliza. Hatutaomba mkate kwao kwa shinikizo, wakitaka walete tu hizo hela za covid 19 au watunyime. Tutakula maharage yetu ya mbeya toshaaa
 
..mimi siamini hii habari ya "usalama wa taifa."

..nadhani ni wingu tu limetengezwa ili kuwatia unyonge na kuwakatisha tamaa waTz.

cc Nyani Ngabu

Kwenye hilo tupo pamoja!

Watanzania tumejazwa sana hofu hizo habari za usalama wa taifa.

Hao watu wa usalama wa taifa [nazungumzia tu kiujumla hapa] tunawachukulia kama vile ni species nyingine kabisa iliyo na nguvu na uwezo wa ajabu!! Wakati si hivyo hata kidogo.

Na huo unyonge wetu ndo unatufanya tuendelee kupata serikali tulizonazo.

Hivi kwa mfano, kitu kama Arab spring Watanzania tunaweza kukifanya?
 
Tuna Rais wa ajabu dunia nzima, hapo yeye anafikiria corona inaweza mfikia through video meeting, ila ukweli kiingereza kingempa tabu lakini hawa marais wote wanaelewa kiswahili angeomba tu yy point zake aziteme kwa kiswahili, ila ukweli hana point za maana kushawaishi wenzake kaamua apambane na wapumbavu waTZ wenzake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
What the way forward?

..first of all we need to change our mindset.

..solution ni kuchagua mwingine oct 2020.

..pia tuchague wabunge wengine ambao wanatetea nchi, na wanaisimamia serikali kwelikweli.

..hatuwezi kuwa na Raisi au chama tawala kinachodharau wapiga kura.

..haya mambo yataisha siku Mtanzania akiacha kujiona ni mnyonge mbele ya Raisi, na chama tawala, na atakapotambua nguvu na thamani ya kura yake.
 
Ukweli nikuwa mzee kingereza ajui.
EA si ndiyo kitovu cha Kiswahili? Lugha pekee siyo tatizo,angeongea Kiswenglisukuma au akaweka mkalimani.
Huyu Mbaba tatizo lake ni dharau,hajiamini na anaroho ya Korosho.Anatabia ya kudhani nchi hii ni Mali yake ya urithi aliyopewa na ccm yake.
 
Tatizo la JPM sio language barrier. Yeye hakubalian na ugonjwa huu na jinsi ya kukabiliana nao.

Hakubaliana na Lockdown either partially au fulu, na kila kitu kwake anaona kuwa anahujumiwa.
Vipimo ambavyo viliidhinishwa na WHO yeye anasema vina matatizo etc.

Na hata Zambia wakivyofunga mipaka yeye anasema wanamhujumu na wanatumiwa na mabeberu. Kenya wamefunga nipaka ila lazima ata revenge just wait and see.
In short jamaa haeleweki.
Na ukisema haogopi ugonjwa sio kweli kwa sababu yeye kaenda kujificha.

Ukweli nikuwa mzee kingereza ajui.
 
..first of all we need to change our mindset.

..solution ni kuchagua mwingine oct 2020.

..pia tuchague wabunge wengine ambao wanatetea nchi, na wanaisimamia serikali kwelikweli.

..hatuwezi kuwa na Raisi au chama tawala kinachodharau wapiga kura.

..haya mambo yataisha siku Mtanzania akiacha kujiona ni mnyonge mbele ya Raisi, na chama tawala, na atakapotambua nguvu na thamani ya kura yake.

Wanasiasa wote wa vyama vyote wanaotrend sasa hivi wamefeli pakubwa.kuanza upya kwa kila chama au vianziahe vipya.
 
Kis
Kisha wapate faida gani?
Kuna zengwe tunatengenezewa lbda
Wakuu na vyombo vyetu vya usalama watakuwa wameliona, sisi hatujui
Kama takwimu wanasema tunaficha takwimu zip?
Kuna mtu anasema hapendi jinsi serikali inavyo handle issue ya Corona?
Je wanataka lockdown, lockdown wataiweza
Au wanataka kuona serikali iamrishe usipovaa barakoa utembezewe kichapo

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
It is due to two permanent causes and one temporal cause
Permanent causes.
1. Poor intellectual Capacity
2. Lack of fluency in English Language.

Temporal causes
1. He can't use computers and relate with its teleconferencing tools.
 
Tatizo la JPM sio language barrier. Yeye hakubalian na ugonjwa huu na jinsi ya kukabiliana nao.

Hakubaliana na Lockdown either partially au fulu, na kila kitu kwake anaona kuwa anahujumiwa.
Vipimo ambavyo viliidhinishwa na WHO yeye anasema vina matatizo etc.

Na hata Zambia wakivyofunga mipaka yeye anasema wanamhujumu na wanatumiwa na mabeberu. Kenya wamefunga nipaka ila lazima ata revenge just wait and see.
In short jamaa haeleweki.
Na ukisema haogopi ugonjwa sio kweli kwa sababu yeye kaenda kujificha.
Hivi kwa Maisha ya mtanzania umpige lockdown
Unafikiri wataweza kuishi

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sweden pia hawajachukua hatua za kufungia watu ndani maisha yanaendelea, vifo vipo, hii corona naifananisha na msumeno inakata nyuma na mbele.
Tuendelee kungoja ila muhimu kujikinga na kuwakinga wengine, sio lazima kuiga kila kifanyachwo na majirani.
Naamini hatutaathirika pakubwa.
 
Hivi kwa Maisha ya mtanzania umpige lockdown
Unafikiri wataweza kuishi

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona unaongelea "lock down" always?

Hata hao wanaoshauri wala hawajasema kwamba nilazima tucopy na kupaste aina hiyo ya lock down waliyoifanya nchi majirani.

Ukweli ni kwamba Wanashauri na Walianza kushauri toka siku nyingi hatua madhubuti hazikuchukuliwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
..first of all we need to change our mindset.

..solution ni kuchagua mwingine oct 2020.

..pia tuchague wabunge wengine ambao wanatetea nchi, na wanaisimamia serikali kwelikweli.

..hatuwezi kuwa na Raisi au chama tawala kinachodharau wapiga kura.

..haya mambo yataisha siku Mtanzania akiacha kujiona ni mnyonge mbele ya Raisi, na chama tawala, na atakapotambua nguvu na thamani ya kura yake.
Niliwahi kukanusha Unyonge na kuwa kama Watanzania ni wanyonge wa miaka inayokaribia 60 na wapi tayari kubakia kwenye unyonge,miye simo.
Nikatahadharisha ya kuwa sipo tayari kuwa mnyonge-Mimi si Mnyonge.
 
Wanasiasa wote wa vyama vyote wanaotrend sasa hivi wamefeli pakubwa.kuanza upya kwa kila chama au vianziahe vipya.

..hakuna haja ya kuanza upya.

..viongozi, wanachama, mashabiki wa hivi vyama, na waTz ktk ujumla wao, wanatakiwa wabadilike.
 
Sweden pia hawajachukua hatua za kufungia watu ndani maisha yanaendelea, vifo vipo, hii corona naifananisha na msumeno inakata nyuma na mbele.
Tuendelee kungoja ila muhimu kujikinga na kuwakinga wengine, sio lazima kuiga kila kifanyachwo na majirani.
Naamini hatutaathirika pakubwa.
Sasa kama hao WHO wanakuambia chanjo inawezekana kupatikana baada ya mwaka mmja
Ina maana muda wote huo watu watakuwa lockdwn
(that's bullaheet)
Kwa style hii lazima tuishi na corona kila mtu achukue tahadhari....
Kiukweli naipa kongole serikali hii kutotuweka lockdown maana sisi wengine tunaishi uswaz, nyumba mbanano Sasa lockdown si itakuwa balaaa

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliwahi kukanusha Unyonge na kuwa kama Watanzania ni wanyonge wa miaka inayokaribia 60 na wapi tayari kubakia kwenye unyonge,miye simo.
Nikatahadharisha ya kuwa sipo tayari kuwa mnyonge-Mimi si Mnyonge.

..safi kabisa.

..sasa unatakiwa uwaambukize ujasiri wenzako.
 
Mbona unaongelea "lock down" always?

Hata hao wanaoshauri wala hawajasema kwamba nilazima tucopy na kupaste aina hiyo ya lock down waliyoifanya nchi majirani.

Ukweli ni kwamba Wanashauri na Walianza kushauri toka siku nyingi hatua madhubuti hazikuchukuliwa.

Hatua gani ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I sincerely doubt that language is an issue in this case. In any case, Swahili has been adopted by both the EAC and SADC as an official language and Heads of State can present themselves in any the official languages.

As an observer, but limited in analysis, this is my personal deduction. For a while now the GoT has been able to implement (sometimes quite well) but still get away with shortcomings in these key strategies:

1. Distract, divert, destroy/conceal

2. Limit information, control the narrative, reset the agenda

in either cases, eventually people forget and launch on new agenda.

If there's persistence, demonize it and launch mass attack on it calling for "national solidarity" or look for sacrificial lamb - and voila!

The State's absolution is never called to fault.

This time things are different - we are in a situation where our country's actions affect those beyond its borders. So are we playing ostrich with heads in the sand? Or we are we willing to compromise and accept "intrusion"?

Whatever the course of action, our State will not remain silent no matter how much time elapses: "msemakweli" ni mpenzi wa mungu philosophy will prevail. Time will tell.
 
Back
Top Bottom