Is President Magufuli an isolationist?

Is President Magufuli an isolationist?

Hizi English zetu za uwaze kwa kiswahili utafsiri ndo uongee kwa virtual meeting haiwezekani
Hivi unajua kiswahili kuwa in lugha rasmi ya mikutano yote ya nchi za SADC na Afrika mashariki na umoja Wa nchi zote za Africa yaani Afrikan Union? Naona uko bado unaota mkoloni mwingereza hata hujua development s poor you chadema
 
..i find this issue to be a little more complicated.

..Yes, John Pombe Joseph Magufuli, the President of URT, could be an isolationist.

..BUT, our country, Tanzania, should not be an isolationist.

..If you remember back in the days, during the Soviet Union, their leaders rarely engaged other countries, it was their Foreign Minister Andrei Gromyko who traveled the world to promote Soviet Union's interests.

..So if Magufuli, for whatever reasons is incapable of meeting with foreign leaders, why cant he assign those duties to his deputies like VP Samia Suluhu,PM Kassim Majaliwa?

..We could even postulate that President Magufuli is bunkered down in Chato, and connectivity is a problem there, so he could not participate in the said video-conference. Now, is connectivity an issue in Dodoma? Is it an issue in Dar?

..I think the issue here is beyond him not being fluent in English, or being an isolationist. I am tempted to think that there is paralysis somewhere. The government is not functioning as it should. That we are in a " new territory ", so to speak, and because of his character, and modus operandi, bwana mkubwa hapati ushauri mzuri ktk masuala mazito kipindi hiki ameji-isolate.

Magufuli siyo kiongozi mzuri!

Hilo nishalisema mara nyingi sana.

His strength is in ‘management’. Not in ‘leadership’, if you know what I mean...
 
English sio tatizo,kwenye mkutano wa SADC uliopita uliofanyika Tanzania alitoa speech kwa kingereza nzuri tu..tatizo ana hofu ya kujadiliana..ushawahi kuulizwa maswali kwa kingereza??weeee acha kabisa [emoji1787][emoji1787]..the problem is kwa topics kama hizi ndio kabisaaa zinamfanya aendelee kujiona inferior..ila ni vizuri aisee maana atafikiria njia ya kupindua elimu yetu itoe wahitimu wanaojiamini...
Alisoma karatasi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We Chato huko Magufuli unakosemekana umejifungia hebu njoo ikulu Mara moja utueleze sisi wananchi wako nini tatizo tukuelewe, maana theory na ramli zimekuwa nyingi kuzidi uwezo wetu wa kukabiliana nazo
 
As trivial as it may sound, maybe there’s some truth to what some people think could be the reason for him skipping these meetings - English.

Maybe he is so self-conscious about his English speaking proficiency and he can’t handle being dragged for it afterwards.
CASE CLOSED I'M HUMBLED YOU KNOW.
 
Tu
Magufuli siyo kiongozi mzuri!

Hilo nishalisema mara nyingi sana.

His strength is in ‘management’. Not ‘leadership’, if you know what I mean...
Tufanye nini ndio ameshakuwa kiongozi wetu tena?
Usalama wa taifa wanaweza kuwa na reason ya kuruhusu awe kiongozi
 
Tatizo lugha.....
Niseme wazi katika wanachama Wa vyama vyote vya siasa duniani wenye akili ndogo ni chadema
Kiswahili kikishaputishwa juwa lugha rasmi ya mikutano yote ya jumuiya ya Afrika mashariki,jumuiya ya SADC na mikutano yote ya African Union huhitaji kujua kingereza uko huru kutumia kiibgereza ,kiarabu,kireno,kifaransa au kiswahili

Poleni chadema kwa kuwa outdated na ujinga
 
Magufuli siyo kiongozi mzuri!

Hilo nishalisema mara nyingi sana.

His strength is in ‘management’. Not ‘leadership’, if you know what I mean...

..excellent manager.

..Bad leader.

..inawezekana he was an excellent manager ktk ngazi ya uwaziri.

..na kwamba hana management skills anazotakiwa kuwa nazo ktk ngazi ya Raisi.
 
Niseme wazi katika wanachama Wa vyama vyote vya siasa duniani wenye akili ndogo ni chadema
Kiswahili kikishaputishwa juwa lugha rasmi ya mikutano yote ya jumuiya ya Afrika mashariki,jumuiya ya SADC na mikutano yote ya African Union huhitaji kujua kingereza uko huru kutumia kiibgereza ,kiarabu,kireno,kifaransa au kiswahili

Poleni chadema kwa kuwa outdated na ujinga
Burooooo
Mbona wanibatiza uchadema ilhali Mimi chama changu ni kula na kuamka salama?
 
Lugha siyo tatizo naona mbona Kuna viongozi wa ufaransa, Russia, China etc wao kingereza kwao kinawapita pemben lkn wanahudhuria mikutano mikubwa!
Narudia kusema lazima kna jambo wakuu zetu wanalijua nyie/Mimi hatulijui!
HEBU TU SIMAMENI KAMA NCHI MOJA KWENYE KIPINDI HIKI

ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana kati ya wagombea wale 48 waliochukua fomu kuna mgombea kamwendea Magu kwa sangoma na kitu kimeitika. Haiwezekani Rais wa nchi ya founder Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, mtu aliyeitengeneza historia ya Tanzania yenye mvuto katika mahusiano ya kimataifa kwa hali ya kawaida akavuruga namna hiyo diplomasia ya mama Tanzania...!
 
..excellent manager.

..Bad leader.

..inawezekana he was an excellent manager ktk ngazi ya uwaziri.

..na kwamba hana management skills anazotakiwa kuwa nazo ktk ngazi ya Raisi.
What the way forward?
 
Lugha siyo tatizo naona mbona Kuna viongozi wa ufaransa, Russia, China etc wao kingereza kwao kinawapita pemben lkn wanahudhuria mikutano mikubwa!
Narudia kusema lazima kna jambo wakuu zetu wanalijua nyie/Mimi hatulijui!
HEBU TU SIMAMENI KAMA NCHI MOJA KWENYE KIPINDI HIKI

ova

Sent using Jamii Forums mobile app


I second you bro...

Kuna article nilisoma mahali huko watsap naisubiri wakati niione maana mengi yalosemwa yanatokea
 
mnavyomuanzishia thread sijui SADC,EA mara Raila Odinga anasema hapokei simu ...

na vile corona imemkimbiza,haitoshi bado mnazidi kumtisha Mzee wa watu.

Kikwete aliongea na simu na kusafiri nje,mkamchamba

Mzee Baba kaamua hasafiri wala hapokei simu za nje..

ni kazi tu.
 
Back
Top Bottom