Is Rosa Lee over rated

mtafuta-maisha

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2016
Posts
1,982
Reaction score
2,931

Huyu dada kila ukitaja wasanii wa hip hop wa kike hapa Tz huwezi kumkosa.
Lakini personally uwa anavyo flow naona kawaida sana hata mistari yake naona myepesi tu.
Wimbo nilioukubari ni up in the air napo chorus ilikuwa ni ya Nick wa pili ikiwa imeandikwa na chid beez and recorded.
Huenda ni hisia zangu ila naona labda kilichomsaidia ni video kali na promo kutoka kwa label kubwa aliyoanza nayo nahisi chemical angepata promo kama hilo huenda angekuwa juu zaidi yake maana walau nyimbo zake zina mistari imeshiba shiba kidogo.
Ni mtazamo wangu tu....
 
Clouds wakishaamua kukuweka juu hawashindwi hata uwe mbovu utakubalika tu.

Mfano mzuri ni wimbo wa Nandy na Aslay, huu wimbo ni mbaya, wameuharibu wimbo wa watu, kuanzia audio hadi video, lakini Ruge ameupromote hadi umekua unaimbwa kila kona. Clouds wana uwezo wa kulazimisha wimbo/msanii akubàlike hata kama ni mbaya.
 
naunga mkono hoja.
 
Huyo Chemical mi ndio simuelewi kabisa. Labda kwa kuwa mimi ni muumini wa flow na sio mistari.
 
Nakubali kabisa...haswaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…