mtafuta-maisha
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 1,982
- 2,931
Huyu dada kila ukitaja wasanii wa hip hop wa kike hapa Tz huwezi kumkosa.
Lakini personally uwa anavyo flow naona kawaida sana hata mistari yake naona myepesi tu.
Wimbo nilioukubari ni up in the air napo chorus ilikuwa ni ya Nick wa pili ikiwa imeandikwa na chid beez and recorded.
Huenda ni hisia zangu ila naona labda kilichomsaidia ni video kali na promo kutoka kwa label kubwa aliyoanza nayo nahisi chemical angepata promo kama hilo huenda angekuwa juu zaidi yake maana walau nyimbo zake zina mistari imeshiba shiba kidogo.
Ni mtazamo wangu tu....