Unless you live in isolation, i find it hard to believe kuwa unaweza kukaa mwezi bila kusikia kuhusu sex. Sex is everywhere, in movies, music, tvs, radio etc, sio lazima wa-show the act of sex, hata kuiimba na kuiongelea pia inajumuishwa.Hiyo mambo naikutaga JF tu! Kwenye my real life naweza kaa mwezi sijasikia kuhusu sex. Sasa sijui jamii yako huko pakoje!!!
Naona hutaki ku-speak for the masses. Ila yeah, i somehow agree with you kuwa its subjective.Yeah to some people is overrated, and to others is underrated..!!
Kila mtu anavutia upande wake mkuu..
Anyways, nisiwe msemaji sana..NGOJA WAJE!
Nice point, kuwa there is more to life/relationships than sex...Kwangu sex siyo big deal kwakua kwenye mahusiano kuna vingi vya kufanya kushinda hata sex yenyewe, yaani na yenyewe ni component katika kukamilisha uhusiano lakini siyo be-all au end-all.
Hivyo tukifuata maandishi ya mitandaoni yes sex is overrated wakati haistahili.
Guys, embu lets discuss hili swala.
Watu wengi huchukulia sex kama jambo kuuubwa, na wengine they go to extreme measures iliku-have sex. Na watu ambao either ni mabikra au hawaja-sex kwa muda mrefu, society inawaona kama waajabu na as if they are missing out on something. Watu wengine wamebaki kuwaza ngono 24/7, na hii inajidhihirisha katika matendo yao na the way they talk about sex.
Hii inafanya sex huwa over-hyped.
Hii pia inawafanya watu wachukulie sex kama the be-all and end-all, hasa katika mahusiano.
So tujadili, je is sex overrated?
Unless you live in isolation, i find it hard to believe kuwa unaweza kukaa mwezi bila kusikia kuhusu sex. Sex is everywhere, in movies, music, tvs, radio etc, sio lazima wa-show the act of sex, hata kuiimba na kuiongelea pia inajumuishwa.
Unless you live in isolation, i find it hard to believe kuwa unaweza kukaa mwezi bila kusikia kuhusu sex. Sex is everywhere, in movies, music, tvs, radio etc, sio lazima wa-show the act of sex, hata kuiimba na kuiongelea pia inajumuishwa.
Hiyo mambo naikutaga JF tu! Kwenye my real life naweza kaa mwezi sijasikia kuhusu sex. Sasa sijui jamii yako huko pakoje!!!
Tatizo umechanganya lugha hajaelewa.Hivi umesoma mada ukaielewa...
Luse(my two cents)
Sex might not necessarily be overrated but it obviously Sell. Kama ulivyo mention, it's everywhere in movies, tv, music, radio, social media..
I think it will be easier to explain if you narrow the topic, kwa mfano kama tv only, radio, or different forums kama JF.