the viking
JF-Expert Member
- Apr 23, 2017
- 1,170
- 1,372
naam..sex has become overrated in our modern society..miaka ya nyuma tendo hili liliachiwa waliooa na ndivyo ipasavyo...hata kama kulitokea cases kadhaa ila moja moja..kwa sasa,tendo hili limekuwa so much overrated in that you will always find something about sex in almost every aspect of our daily routines..kwa mfano,inaamika kuwa kama unataka kuwa na umaarufu ama kazi zako za kisanaa zivume basi lazima ujumuishe some aspects of intimacy..hivi unapata video nuingi za muziki ama hata filamu kuna mambo ya kivile yaliyojumuishwa..ikika kwa wanamitindo,unapata mavazi ya kisasa wanayovalia inareveal so much for the eye..ukizingatia wadada zetu hupenda kuwa in fashion,wataishia kuvaa kama wanamitindo hao..wakishatoka kule nje wakakutana na wanaume ambao watawaona "sexy"hapo mikakati ya uwindaji itaanza kuchukua nafasi kubwa ya akili za wanaume hao..