Is Tanzania ousting Kenya as East Africa's powerhouse?

Is Tanzania ousting Kenya as East Africa's powerhouse?

Sina haja ya kutaja gharama ya miradi, cha msingi ni kuwaza umuhimu wa kila mradi wenyewe. Kila mradi Kenya upo baada ya kubainika umuhimu wake kwa nchi, na utekelezaji wake. Sio kama nyie mnaanzisha miradi ili muonekane mpo tu mnakimbizana na Kenya.

Mnaibua ujenzi wa bandari ya Bagamoyo wakati mna bandari zingine ambazo zikiboreshwa tu, mtaweza kukidhi mahitaji yote ya bandari. Lengo lenu ni kuonekana mna miradi mikubwa, mnatapapa bila mipango ya kueleweka hadi leo mnajikuta wananchi wapo kwenye foleni za bidhaa za msingi kama sukari.
Bandari ya bagamoyo ni exceptional meli kubwa sana zitakuwa zinakuja kutia nanga pale halafu nyinyi mtakuwa mnakuja kuchukulia mizigo yenu pale. Mfano ni kwamba mataifa makubwa yana meli ambazo kiuhalisia haziwezi kutia nanga kwenye bandari zetu. so wtz wamefanya hiyo ili kuweza kurahisisha maisha kwa east Africa countries badala ya kwenda kuchukua mizigo China dubai au US waje waichukulie pale bagamoyo na wtz watakuwa wanachukua kodi so ni wajanja saana,msidhani kuwa wanafanya tu waonekane @ MK254
 
Naam, wazo na mskumo mzuri huo, ila Lamu port pia itakuwa na uwezo wa kupakia post Panamax size ships, kwa hivyo labda jirani zenu kutoka Mozambique waje kuchukua mizigo huko.

Pia sababu ya kutojenga daraja katika south coast ya mombasa ni Ili kilindini channel isizibwe pindi inapopanuliwa kuchukua meli kubwa zaidi. Post Panamax shipping can not go under a bridge with the low elevation as is in Mombasa's kilindini channel and port Reitz Creek.
 
kenyans are'nt happy to see this happening.
No no no, don't get us wrongly, we do want development in not just Tanzania but in all eastern African nations

What we do not want is to hear from mostly Tanzanians is this notion that hakuna kitu chaendelea Kenya, wakenya washalalia kazi, hili tunalojenga huku Tz litachukua vyote vinavyoenda Kenya, miradi ya Kenya ni hadithi tu na tembo nyeupe, hizo picha ni za ulaya, marekani na misri na si za Kenya, hao tushawapita kwani tofauti ni ndogo sana na pia hawakui.

Very miss-informed comments. That's what makes us unhappy. Hautasikia wakenya wakilalama ati mbona Djibouti wajengewa reli kutoka uhabeshi, mbona Uganda wajenga lami mpaka Sudan kusini, mbona mazungumzo Kati ya Sudan kusini na Sudan kaskazini zafua dafu, mbona Somalia wajenga bandari? You'll never hear negative comments on those and it's because the respective countries's citizens aren't ridiculing Kenyan projects and asserting their perceived complexity issues on them in favor of theirs.
 
God bless you...hapa umeongea vizuri sana.Kama ni kinyongo ingefaa tuwawekee waethiopia cz hao jamaa wanakua kwa speed ya kutisha but cjaona mkenya yeyote akipiga kelele ju yao.hawa wenzetu hapa hawajafikia hata ethiopia but fujo kila mahali.
 
Back
Top Bottom