What!! Can you prove that??I meant all that Produce comes from Production and can mean goods to the final stage standing in the place of manufacturing! Most of those malls in Kenya r selling foreign merchanise!
Haijalishi mwandishi ni wa wapi, cha msingi ni ukweli unaofahamika. Sio kila Mkenya anaelewa tunakokwenda na tulikotoka, kuna wengine wanaelekeza kufunga kwenye goli la nyumbani. Kuna mijitu ya Kikenya ilishabikia kwa Kenya kukosa bomba, na pia kuna Watanzania waliponda kwa Tanzania kupata hilo bomba, hivyo kila nchi ina watu wake ambao huwa hawaeleweki eleweki.Lakini aliyeandika hii habari ni Mkenya na siyo Mtanzania!
go to those malls and see what they sell start with Apparel stores and see design wears, watches, sunglasses, shoes e.t.c. over 90% not from Kenya!What!! Can you prove that??
Even if,they pay import duty and VAT...so its a win win.
Haijalishi mwandishi ni wa wapi, cha msingi ni ukweli unaofahamika. Sio kila Mkenya anaelewa tunakokwenda na tulikotoka, kuna wengine wanaelekeza kufunga kwenye goli la nyumbani. Kuna mijitu ya Kikenya ilishabikia kwa Kenya kukosa bomba, na pia kuna Watanzania waliponda kwa Tanzania kupata hilo bomba, hivyo kila nchi ina watu wake ambao huwa hawaeleweki eleweki.
Hahahha...just dwell on that. Those are affluent products. Talk about common items.go to those malls and see what they sell start with Apparel stores and see design wears, watches, sunglasses, shoes e.t.c. over 90% not from Kenya!
na bado,mtatoa sana mapovu round hii.hahahahaNa bado mtaisoma namba, miaka nenda miaka rudi, waliimba babu zenu, wakaimba baba zenu, mnauimba leo, mpo tayari kuwapokeza watoto wenu waimbe.
Huu ushakua wimbo wa taifa Tanzania, tutaipita Kenya, lazima Kenya ipitwe, hii Kenya haipo mbali, tutaipiga chini Kenya, Kenya itapitwa tu, kwani Kenya wana nini, Wakenya hawana chochote, mbona hawa Wakenya tutawapita tu, giant limeamuka na kuipita Kenya, Kenya kainchi kadogo tutakapita tu
but in any of those malls how many of perishable merchandise shops r there? very few usually non pershable goods rule!Hahahha...just dwell on that. Those are affluent products. Talk about common items.
Mbona povu jingi kaka.. Ukweli unauma au??Haijalishi mwandishi ni wa wapi, cha msingi ni ukweli unaofahamika. Sio kila Mkenya anaelewa tunakokwenda na tulikotoka, kuna wengine wanaelekeza kufunga kwenye goli la nyumbani. Kuna mijitu ya Kikenya ilishabikia kwa Kenya kukosa bomba, na pia kuna Watanzania waliponda kwa Tanzania kupata hilo bomba, hivyo kila nchi ina watu wake ambao huwa hawaeleweki eleweki.
They are the dominant things...food courts,super markets,movie theatre..I can go on all day.but in any of those malls how many of perishable merchandise shops r there? very few usually non pershable goods rule!
movie theatres how many of those movies r Kenya? how many of food courts r Kenyan brands? even food courts i am pretty sure about half of them r foreign brands!They are the dominant things...food courts,super markets,movie theatre..I can go on all day.
Haijalishi mwandishi ni wa wapi, cha msingi ni ukweli unaofahamika. Sio kila Mkenya anaelewa tunakokwenda na tulikotoka, kuna wengine wanaelekeza kufunga kwenye goli la nyumbani. Kuna mijitu ya Kikenya ilishabikia kwa Kenya kukosa bomba, na pia kuna Watanzania waliponda kwa Tanzania kupata hilo bomba, hivyo kila nchi ina watu wake ambao huwa hawaeleweki eleweki.
So Kenya attracts that much foreign interest...movie theatres how many of those movies r Kenya? how many of food courts r Kenyan brands? even food courts i am pretty sure about half of them r foreign brands!
we dont need your advice on our economic strategy,Bagamoyo port inajengwa na vilevile dsm port tumeshatenga 1.5 trillion kwaajili ya kuiboresha this year while Tanga port new equipment tumeshazinunua,Mtwara port maboresho yake yanaenda sambamba na ujenzi wa kiwanda cha mbolea,LNG plant,na kiwanda cha cement.
you are not in TZ so you ll never understand why sugar have been scarce recently,however a campaign against hoarding is ongoing to insure that the "fake scarcity" engineered by people like you fail.
For your information,we are about to double our sugar production within three years and i hope Kenya will be one of our customers and Four of the strategic areas that have been identified for cane farming expansion include Rufiji Valley, Kigoma, Kilosa, Ngerengere and Bagamoyo.
Again be honest to yourself, the Ugandan blow, followed by the Rwandan one, plus the eternal warlord regime in South Sudan and the crippling of Lapsett, plus Kenya Airways downgrade and the collapse of the new airport- let alone that your oil needs $70 a barrel or more to even dig up, means Kenya is facing some really tough times. Your government needs to admit this, and develop a new strategic plan for Kenya instead of playing a witch-hunter.
which foreign interests u r just a market!So Kenya attracts that much foreign interest...
Hata kama kampuni zenye si za kikenya,wanatumia viungo vya Kikenya. Or do they import their ingredients??movie theatres how many of those movies r Kenya? how many of food courts r Kenyan brands? even food courts i am pretty sure about half of them r foreign brands!
which foreign interests u r just a market!
Unajuwaje kama kuna anachokiona ambacho wewe labda haukioni? Kwa maana mtu mpaka aandike jinsi alivyoandika ni lazima an uelewa fulani wa haya mambo, sidhani kama Mkenya tu ktk Taita anaweza kuja habari ya uchambuzi kama hiyo!
Mimi huwa siangalii mwandishi, bali cha muhimu kwangu huwa anachokisema. Hapo sioni chochote kipya zaidi ya zile nyimbo za miaka yote.
Binafsi ninafuatilia sana maendeleo ya nchi zote zilizotuzunguka, na pamoja na nchi yangu. Nimekusanya data nyingi sana na ninafuatilia hatua kwa hatua, hususan miradi ya Kenya. Hivyo siwezi yumbishwa na mwandishi ambaye hajatumia muda wake kufanyia utafiti anachokiandika.