Koborer
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 1,020
- 272
Mimi niko mpakani na Kenya,hawa watu wa Kenya sio wa kuungana nao kabisa,ni wabinafsi na wanatuona wa Tz km mambumbu.
Perhaps you could advice your government then to consider building a wall between Kenya and Tanzania, that way you could ensure that we don't get to mix with you. As it is you may be in for a heart break. Pole ndugu.