Is this legal??

Is this legal??

Kafrican

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2015
Posts
7,251
Reaction score
7,037
Siasa nyingi, watu wakunywe chill_Pill ...

Anyway, nilikua natazama video mpya ya nameless, video na nyimbo maridadi kabisa, kidosho ndani ya hio video wananimliza....
Hata hivyo, Video yenyewe imechukuliwa ndani ya Kenya, eneo la Amboseli mahali panaitwa Loitoktok, lakini ukiangalia unaona Mt.Kilimajaro iliyo Tanzania hapo nyuma tu kwa background ambayo inaletea hiyo video mvutio Zaidi .... hio background ya Mt.Kilimanjaro itafanya hiyo video kupata sia Zaidi ambayo itapelekea mwanamziki Nameless kupata sifa na faida Zaidi na uwezekano wa kushinda tuzo na hio video kwa mfano 'Video of the year'. Tanzania haitapata ushuru wowote wakati Mt.Kiimanjaro itakua imechangia kiasi kufanya hii video ivutie Zaidi...

Angalia nyimbo yenyewe imenibamba sana, nafikiri itakuamy song of the year

Aisee hata chebukati amekubali!
FB_IMG_1509478749112.jpg
 
Ngoja waje, utajibiwa sasa hivi maana huo mlima ipo siku walisema wataweka uzio ili usionekane kutokea Kenya.
 
😀😀😀😀😀wajenge ukuta basi ili tusiweze kuitazama Kilimanjaro...unajua hasira inatokana na kwamba the best views of Kilimanjaro can be seen from Kenya...that is Amboseli national park..yaani mlima ni wao ila picha bora zaidi zinachukuliwa toka Kenya, inafahamika kama windward side ambapo kuna ndovu na wanyama wengine....wanaposkia ukweli huu mchungu wanakasirika sana akina wale...
weather-climate-12-638.jpg
97607228.jpg
 
hehehe,ngoja nyumbu za danganyika zije utaona povuuu limejaa humu😀
 
😀😀😀😀😀wajenge ukuta basi ili tusiweze kuitazama Kilimanjaro...unajua hasira inatokana na kwamba the best views of Kilimanjaro can be seen from Kenya...that is Amboseli national park..yaani mlima ni wao ila picha bora zaidi zinachukuliwa toka Kenya, inafahamika kama windward side ambapo kuna ndovu na wanyama wengine....wanaposkia ukweli huu mchungu wanakasirika sana akina wale...
weather-climate-12-638.jpg
97607228.jpg
That's y,unaitwa,the "roof of Africa"
 
upande wa Kenya mnakula kwa macho. yaani mnauona tu. lkn Tanzania tunakula kihalisi yaani kuona na kupanda ambayo ndiyo raha yenyewe.
iko sawa na wewe iko kumuangalia tu bibi ya jirani yako. lkn anayefaidi si wewe unayeangalia bali the husband. sisi ni husband wa Kilimanjaro na nyie ni jirani anayekula kwa macho.
tehe tehe tehe
 
ndugu, tunapanda Mt Kenya kila uchao...the second tallest mountain in Africa...yaani tuna enjoy milima yote miwili...amboseli watalii wanakuja kupiga picha mlima wenu...lol!!!
 
ahaaa haaa haaa lkn no hiking.
 
Back
Top Bottom