Kafrican
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 7,251
- 7,037
Siasa nyingi, watu wakunywe chill_Pill ...
Anyway, nilikua natazama video mpya ya nameless, video na nyimbo maridadi kabisa, kidosho ndani ya hio video wananimliza....
Hata hivyo, Video yenyewe imechukuliwa ndani ya Kenya, eneo la Amboseli mahali panaitwa Loitoktok, lakini ukiangalia unaona Mt.Kilimajaro iliyo Tanzania hapo nyuma tu kwa background ambayo inaletea hiyo video mvutio Zaidi .... hio background ya Mt.Kilimanjaro itafanya hiyo video kupata sia Zaidi ambayo itapelekea mwanamziki Nameless kupata sifa na faida Zaidi na uwezekano wa kushinda tuzo na hio video kwa mfano 'Video of the year'. Tanzania haitapata ushuru wowote wakati Mt.Kiimanjaro itakua imechangia kiasi kufanya hii video ivutie Zaidi...
Angalia nyimbo yenyewe imenibamba sana, nafikiri itakuamy song of the year