nna rafiki ambaye pia ni mpenz a bro wangu, kama wiki tatu zilizopita aligombana na bro wangu so akaamua waachane, within 2 days akaanza mahusiano na jamaa mwingine ambaye alikuwa anammmendea iku nyingi na wanafahamiana hata anamjua x wa hy jamaa, wakaanza kwa kasi, wakaenda na zenj kujivinjar, aliporud oficn afriend wa huyo new baby wake akamweleza kuwa mpenz wake huyo bado ana mawasiliano na x wake so kuna hatar kuwa bado wana-do, mdada akamuuliza mpenz wake, jamaa akavunga alipobanwa mno akakubali kuwa bado anawasiliana na x wake kwan huwa anam-miss, mdada akampiga chini msela na saa hyo hyo akarudiana na bro wangu....................
huyu rafk yangu yupo hvo hawez kukaa bla bf lakn mara nyingi huwa anaishia kuumizwa anakuja kunililia.....
nfkr ni vzur kujipa mda wa ktulia na kujipanga upya kabla ya kuingia kwenye relation mpya...........