Ahsante kwa kuleta habari ya 2016,jamaa kaleta source ya a month ago...
But from 2016 to 2019 miaka mingi imepita na mambo mengi yamebadilika,enjoy your pain killers
Naona ulikuja kutoa ushamba,uje tena upande electric train 2020,Sikh hizi haina haja ya kwenda Europe ni hapahapa bongo wakenya wanakuja kutoa tongo tongo,juzi nipo pale kibo nikakuta watoto wa kagame wanazungumza kilugha Chao wakisubiri bus.lmfaoUmekwenda kipindi cha Xmas wakati mji umefulia, nenda Jan kati wakati watu wamerejea mishe.
Tena naweza nikakuelekeza wapi uanzie maana Dar napajua sana kuzidi wengi wenu humu.
Nikirudi nitapiga mapicha na kuyaleta humu muone watu wanavyoteseka kisa ukosefu wa mabasi ya kutosha.
Wanajazana stendi, likija inakua vuta nikuvute, halafu milango lazima ifunge, hivyo inabidi msukumane humo ndani muachie nafasi mlangoni, midereva yenyewe imenuna kwa uchovu na ukosefu wa hela, hauwezi kumuuliza kitu.
Madubwasha ya kusoma tiketi ili ikuachie uingie au kutoka stendi haifanyi kazi siku hizi, kuna jamaa wamewekwa hapo kazi yao kukagua hizo tiketi, jamaa wenyewe wachovu huwa hata hawashughulki, unapita tu.
Yaani awali wakati hayo mabasi yanaanza, yalikua nafuu hata kuzidi taxi, nilikua natoka hotelini na kufika mjini ndani ya muda mfupi, lakini kama ilivyo kwa Mswahili, huwa mtihani sana kutunza na kudumisha chema.
Hiv unajua km mkenya mwenzenu kaongea mambo ya msingi kuliko huyo bwege ulomleta???!!!!
Kumbuka alikua ana type sio kuongea.mkenya gani asiyejua spelling za kibera eti kibras...mswahili tu huyo anaunga unga tu mitandaoni!
Kumbuka alikua ana type sio kuongea.
Kuna typing error hata ww huzifanya mara nyingi.Kwahiyo usimkatae mwenzako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mkenya katoa ya moyoni
ukiachana na kuhamisha mlima Kilimanjro kwao wakenya wakati mwingine ni wakweli
Ipo tofauti ya Kibra na Kibera.Mbona sasa hivi wanaita kibera ni kibra [emoji23][emoji23][emoji23]
"Ukweli " kwako ni zile maoni tu zinazo kwenda laini na maoni zako , si ndio?
"Ukweli " kwako ni zile maoni tu zinazo kwenda laini na maoni zako , si ndio?
Kwa hivyo ni ukweli pia wale wanahabari wa kimataifa wamechapisha habari kwamba Dar es Salaam 70% ina slums.