Is Turkana part of Kenya!?

Venus Star

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2018
Posts
26,519
Reaction score
78,311
Maisha ya huko Turkana ni zaidi ya maisha ya kuzimu.
Katika karne hii ya sayansi na technolojia watu wanasafirisha watoto kwa kutumia punda.

Turkana ni nchi ndani ya nchi, wapo na jeshi lao. Kila mtu anamilki bunduki. Tangu Kenyatta aingie madarakani sijamsikia akitembelea maeneo yale.

Yesu alitolea mfano kuzimu kwa kutumia shimo la takataka lililokuwa nje ya mji wa jerusalem. Shimo hilo moto ulikuwa hauzimiki lilikuwa linaitwa jehanamu.

Yesu angetokea leo hii angetolea mfano wa kuzimu na Turkana.

Najaribu kutafakari kama kweli shetani(ibilisi) alifukuzwa toka mbinguni na kuangukia duniani, basi huyo ibilisi aliangukia kenya sehemu inayoitwa Turkana.

Napenda kuwauliza wakenya je, mnampango gani na Turkana!? Au mmeitelekeza!?
Njaa, magonjwa, utapiamlo, vita, vurugu, shida ya maji, hakuna umeme, hakuna barabara, mitandao ya simu haisomi, ubakaji.
Kila aina ya shida zinapatikana Turkana.
 
Nionyeshe ni wapi nilisema hivyo nitoke JF. Halafu unacheka habari ya masaibu na shida? Ama huwa unafurahia wakati binadamu wenzako wanateseka?
Swali liko pale pale. Is Turkana a part of Republic of Kenya!?
 
Turkana is not in interests of the elites of Kenya (Kikuyu & Kalenjin)
 
Nionyeshe ni wapi nilisema hivyo nitoke JF. Halafu unacheka habari ya masaibu na shida? Ama huwa unafurahia wakati binadamu wenzako wanateseka?
Halafu 3/4 of Kenya ipo hivi from Turkana, Lokichar, Isiolo mpaka North Eastern mpaka Lanu. Hata Tony254 anajua yet wanadai Kenya kuna Internet 100%!

 
Yes Turkana is and will always be part of Kenya... But did you know there's much more to this County than what you see or read in the papers? What comes to your mind when Turkana is mentioned? Hunger, insecurity, underdevelopment, poor infrastructure?

Well, ladies and gentlemen... Here is a Turkana you don't get to see or read about in your daily papers!!! 😊

 
So sad, duh
 
Wenzetu wakisema kenya they mean Nairobi Mombasa, Kisumu na kwa uchache Nakuru
The rest of the Country you can not tell if they supposed to share the same bread
Hii inamaana 1/3 ya Kenya is well developed with all sort of Infrastructure and 2/3 is poorest!
 

Ukitaka wakutukane matusi ya mwilini (siyo ya nguoni), wewe waambie Turkana na Pokot iko Kenya .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…