Is Turkana part of Kenya!?

Is Turkana part of Kenya!?

Halafu 3/4 of Kenya ipo hivi from Turkana, Lokichar, Isiolo mpaka North Eastern mpaka Lanu. Hata Tony254 anajua yet wanadai Kenya kuna Internet 100%!

View attachment 1632422
Halafu hamna aibu kushindwa kiuchumi na nchi yenye size yake ni nusu yenu. Nchi yenye 3/4 ni arid and semi arid. Nchi yenye haina mineral resources. Nchi yenye ina 6% ya Lake victoria wakati nyie mna zaidi ya 50% ya Lake Victoria. Nchi yenye ina watu 47 million wakati nyie mpo 58 million? Nchi yenye inapakana na failed states mbili (Somalia na South Sudan) wakati nyie mnazungukwa na nchi ambazo zina stable governments?
 
Hahaha ukiona wakihamia mada za Kibera au Turkana ujuwe sindano imegusa mfupa na wanajaribu kutoa stress na Turkana.

Hamna anayebisha ya kuwa Kenya has two worlds.
1. The first world which consists whites and few elites.
2. The fourth world of majority Kenyans. In this group the Turkana, Pokot etc people belongs to this group.
 
Turnaka army
images (61).jpeg
images (62).jpeg
images (63).jpeg
images (55).jpeg
images (56).jpeg
images (57).jpeg
images (58).jpeg
 
Hamna anayebisha ya kuwa Kenya has two worlds.
1. The first world which consists whites and few elites.
2. The fourth world of majority Kenyans. In this group the Turkana, Pokot etc people belongs to this group.
Umeweka group mbili tu? Na mimi niko group gani maana sipo first world. Nipo fourth world? Hujui maisha ya watu. Wewe kazi yako ni kuassume kuwa kila Mkenya ni masikini.
 
Devolution inafanya kazi. Hio ofisi ya governor imetisha sana. That is good progress.
tatizo ya majirani ni kua wanatumia internet kutofautisha na nchi yao...hao hawajui media za kenya na most NGO ,,mostly waga nikutafta pesa ..alafu wenzao wakishakuja kenya na kujionea na kurudi kuwaambia ukweli kua kenya ipo juu..utaskia wakimtusi ati..yeye ni shabiki wa tindu..mara impersonation si mtz..sazengine nabaki na mshangao..like WTF are these people..are they normal..
 
Hawa watu kwa kulenga shabaha hapana machezo. Narudia tena hapana machezo. Hawa wanafahamu vizuri jinsi ya kulenga shabaha na ni professionals kwa kutumia hizo bunduki. Hii army ikija TZ mtajamba.
Huyu ni dada yako!? Miss 🤣 🤣🤣 Hakika sura zenu wakenya zimekomaa kama maginmbi.
unnamed.jpg
 
Hawa watu kwa kulenga shabaha hapana machezo. Narudia tena hapana machezo. Hawa wanafahamu vizuri jinsi ya kulenga shabaha na ni professionals kwa kutumia hizo bunduki. Hii army ikija TZ mtajamba.

Kwenye army hawajifunzi shabaha pekee, bali kuna mambo mengi.

Lkn pia kama wana shabaha, kwa nini msiwatumie kuwalenga alshabab.
 
Kwenye army hawajifunzi shabaha pekee, bali kuna mambo mengi.

Lkn pia kama wana shabaha, kwa nini msiwatumie kuwalenga alshabab.
Turkana na Somalia ni mbali sana. Halafu Shabab wanawaogopa sana hawa Waturkana. Shabab hawawezi kanyaga huko. Wanajua Waturkana wamezaliwa wakiwa wameshika bunduki mkononi.
 
Back
Top Bottom