Boss 3/4 ya Kenya ni arid and semi arid. Sasa nyinyi hamna arid land yoyote. 100% ya land yenu inapata mvua. Huwezi kuelewa.Halafu 3/4 of Kenya ipo hivi from Turkana, Lokichar, Isiolo mpaka North Eastern mpaka Lanu. Hata Tony254 anajua yet wanadai Kenya kuna Internet 100%!
View attachment 1632422
Halafu hamna aibu kushindwa kiuchumi na nchi yenye size yake ni nusu yenu. Nchi yenye 3/4 ni arid and semi arid. Nchi yenye haina mineral resources. Nchi yenye ina 6% ya Lake victoria wakati nyie mna zaidi ya 50% ya Lake Victoria. Nchi yenye ina watu 47 million wakati nyie mpo 58 million? Nchi yenye inapakana na failed states mbili (Somalia na South Sudan) wakati nyie mnazungukwa na nchi ambazo zina stable governments?Halafu 3/4 of Kenya ipo hivi from Turkana, Lokichar, Isiolo mpaka North Eastern mpaka Lanu. Hata Tony254 anajua yet wanadai Kenya kuna Internet 100%!
View attachment 1632422
Devolution inafanya kazi. Hio ofisi ya governor imetisha sana. That is good progress.wakati manacheka turkana ..wao wanachapa maendeleo..wako na barabara safi sana..
View attachment 1632409
new offices of the governor of turkana
View attachment 1632378
View attachment 1632411
Hahaha ukiona wakihamia mada za Kibera au Turkana ujuwe sindano imegusa mfupa na wanajaribu kutoa stress na Turkana.
Umeweka group mbili tu? Na mimi niko group gani maana sipo first world. Nipo fourth world? Hujui maisha ya watu. Wewe kazi yako ni kuassume kuwa kila Mkenya ni masikini.Hamna anayebisha ya kuwa Kenya has two worlds.
1. The first world which consists whites and few elites.
2. The fourth world of majority Kenyans. In this group the Turkana, Pokot etc people belongs to this group.
This is your group π€£ π€£π€£Na mimi niko group gani maana sipo first world. Nipo fourth world?
Umeweka group mbili tu? Na mimi niko group gani maana sipo first world. Nipo fourth world?
Hahaha. Huyu mzee wa ugali moto. Ilimchoma kisogo sana.This is your group π€£ π€£π€£
View attachment 1632466View attachment 1632469View attachment 1632470
Hahaha. Ni sawa mzee. Niweke fifth class ukitaka. Sina tatizoWewe uko fourth upper.
Hawa watu kwa kulenga shabaha hapana machezo. Narudia tena hapana machezo. Hawa wanafahamu vizuri jinsi ya kulenga shabaha na ni professionals kwa kutumia hizo bunduki. Hii army ikija TZ mtajamba.
tatizo ya majirani ni kua wanatumia internet kutofautisha na nchi yao...hao hawajui media za kenya na most NGO ,,mostly waga nikutafta pesa ..alafu wenzao wakishakuja kenya na kujionea na kurudi kuwaambia ukweli kua kenya ipo juu..utaskia wakimtusi ati..yeye ni shabiki wa tindu..mara impersonation si mtz..sazengine nabaki na mshangao..like WTF are these people..are they normal..Devolution inafanya kazi. Hio ofisi ya governor imetisha sana. That is good progress.
Huyu ni dada yako!? Miss π€£ π€£π€£ Hakika sura zenu wakenya zimekomaa kama maginmbi.Hawa watu kwa kulenga shabaha hapana machezo. Narudia tena hapana machezo. Hawa wanafahamu vizuri jinsi ya kulenga shabaha na ni professionals kwa kutumia hizo bunduki. Hii army ikija TZ mtajamba.
Hawa watu kwa kulenga shabaha hapana machezo. Narudia tena hapana machezo. Hawa wanafahamu vizuri jinsi ya kulenga shabaha na ni professionals kwa kutumia hizo bunduki. Hii army ikija TZ mtajamba.
Turkana na Somalia ni mbali sana. Halafu Shabab wanawaogopa sana hawa Waturkana. Shabab hawawezi kanyaga huko. Wanajua Waturkana wamezaliwa wakiwa wameshika bunduki mkononi.Kwenye army hawajifunzi shabaha pekee, bali kuna mambo mengi.
Lkn pia kama wana shabaha, kwa nini msiwatumie kuwalenga alshabab.
Majority of us are ignorant! π The place has been stereotyped for far too long! Turkana is an underrated paradise!Wowππ,, What a Gem!!Never knew Turkana was this gorgeous and beautiful
π€£ π€£Majority of us are ignorant! π The place has been stereotyped for far too long! Turkana is an underrated paradise!
View attachment 1632570View attachment 1632571View attachment 1632572View attachment 1632573View attachment 1632574View attachment 1632575View attachment 1632576View attachment 1632577View attachment 1632578View attachment 1632579View attachment 1632580View attachment 1632581View attachment 1632582View attachment 1632583View attachment 1632584View attachment 1632585View attachment 1632586View attachment 1632587View attachment 1632588View attachment 1632589View attachment 1632590View attachment 1632591View attachment 1632592View attachment 1632593View attachment 1632594View attachment 1632595
I think the Mainstream Media should also be partly blamed.Turkana has always been portrayed negatively which is wrong.Majority of us are ignorant! π The place has been stereotyped for far too long! Turkana is an underrated paradise!
View attachment 1632570View attachment 1632571View attachment 1632572View attachment 1632573View attachment 1632574View attachment 1632575View attachment 1632576View attachment 1632577View attachment 1632578View attachment 1632579View attachment 1632580View attachment 1632581View attachment 1632582View attachment 1632583View attachment 1632584View attachment 1632585View attachment 1632586View attachment 1632587View attachment 1632588View attachment 1632589View attachment 1632590View attachment 1632591View attachment 1632592View attachment 1632593View attachment 1632594View attachment 1632595
Turkana π€£ π€£π€£I think the Mainstream Media should also be partly blamed.Turkana has always been portrayed negatively which is wrong.