Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Project ya Kijana wetu Diamond na Zari (the boss lady) ilifana sana kiasi kwamba iliacha kumbukumbu!
Cha kujiuliza, hii project inaendelea? Kuna picha hapo chini inaonesha wakiwa wanaanza kufanya project ambayo pengine inaweza ikawa project kubwa tangu aanze kufanya project!
Lakini kama mjuavyo kila project inahitaji vifaa vya kufanikisha project ili baada ya project kila mtu atoke salama kama kutakuwa na madhara yeyote! Sijui kama Kijana wetu Diamond hukumbuka dhana za kufanyia project kama 3 Bomba, Roughryder na zingine zinazosaidia mtu akiwa kwenye project!
Lakini Diamond usisahau vifaa unapo kuwa kwenye project mfano 3bomba.