Is Zari and Diamond Platinumz project continues? What about Wema?

Is Zari and Diamond Platinumz project continues? What about Wema?

daah jamaaa ni mpigaji mizigo sana,hawa ni wale tu super divaz je kwa wale wa chini chini vishobokaji si atakua ana wakita sana aisee ni hatari kwa afya kama dume hai ingilii kati,ni bora management yake ikaketi na kumpa ushauri,maradhi yapo na haya chagui usuper star.

Hakika Chinga One umenena Kijana anahitaji serious ushauri maana kama dume haitumiki ni hatari kwa afya yake kabisa!
 
Last edited by a moderator:
Kuna sehemu aliulizwa kuwa ulikasirika Wema kupewa gari? akajibu kuwa hakuna anaye weza kufurahi ndio maana watu tukiamua kupiga project zetu tunaonekana wabaya!

Kwakweli nivyema akapewa ushauri wakuwa makini sana kwenye project zake!

Tabia yake tu ndo inamfanya baadhi ya watu wamchukie, na sio kwamba sio muimbaji mzuri lah! Ni mambo kama hayo , sasa anavyoweka hadharani ili iweje? Ni kuwa hakujiamini kama angeweza kulala na zari au nini, ushamba tu na ulimbukeni
 
Labda zilivuja! Lakini sijui Wema anavyo mpenda Diamond ana hali gani!

Lakini kijana anahitaji ushauri wa karibu!
 
T
Kwakweli kijana bora apunguze project asije akaanza kuumwa kifua! lakini Mimi nimemshauri akumbuke 3bomba!

Sasa sijui kama babu Tale umeneja wake unaishia wapi?Kweli ana hitaji ushauri!

Anatafta attention kinguvu zaidi sijui mshauri wake achange strategies za kumfanya aendelee Ku make headlines sasa yeye mademu ndo kimbilio lake hata hainogi kwa mtu ka yeye ataishia kubaya na jamii haitamhurumia kwa city ka vyake ndo mana akina Jide prof j mwanafa Ay mbona wanna survive bila skendo za kipuuzi
 
Tabia yake tu ndo inamfanya baadhi ya watu wamchukie, na sio kwamba sio muimbaji mzuri lah! Ni mambo kama hayo , sasa anavyoweka hadharani ili iweje? Ni kuwa hakujiamini kama angeweza kulala na zari au nini, ushamba tu na ulimbukeni

Kweli binamu umeongea point nahisi na ushamba na ulimbukeni unachangia aisee lack of exposure ni tatizo anafikiri mafanikio ni kubadili mademu pia yeye kumdate zari no mafanikio
 
mi nilidhani ni utani kumbe kweli.
mhhh waumize chibu cos kabla ya kuzpata ulipowafata waliringa sana. so huu ndio muda wao wa kulia !. WACHA MOVIE IENDELEE !!!!

Ila aangalie asije akalia yeye
 
ngoja mimi nisubiri Le Tamkozz kutoka kwa The BigShow kama ni kweli au sio kweli.
Jamani msilaumu sana wema kaenda kwa babu na diamond kaenda kwa bibi ngoma droo
 
Akikosa wa kumyoa aendelee kuchuna mibuzi tu

Duuu Wema atakuwa na hali mbaya sana!

Hapo kwa ndomo hakuna kitu...kijana bado kifanyio kinamuwasha na hv anapenda kiki za kijinga

Kama hizi ni kiki basi zitampeleka kubaya sana ana hitaji kujitazama upya!
 
daah jamaaa ni mpigaji mizigo sana,hawa ni wale tu super divaz je kwa wale wa chini chini vishobokaji si atakua ana wakita sana aisee ni hatari kwa afya kama dume hai ingilii kati,ni bora management yake ikaketi na kumpa ushauri,maradhi yapo na haya chagui usuper star.

Babu Leo umeongea point sana huyu domo anahitaji ushauri
 
Labda zilivuja! Lakini sijui Wema anavyo mpenda Diamond ana hali gani!

Lakini kijana anahitaji ushauri wa karibu!

Labda simu iliibiwa, wacha movie iendelee

Hata kama, ni kwa nini wajipige picha wakati wakifanya mambo ambayo hayatakiwa kufanywa hadharani? AU ndo walitaka kiwathibitishia akina wema kuwa zile hazikuwa tetesi bali ni kweli, ila kazi anayo, maisha yake na chaguo ni lake, si yetu macho tu tunaangalia ma project ya buree
 
Kama vile anataka amtafune maana kaumeza mdomo wa dada wa watu anadhani yupo na mama ubaya maana naye si haba......

Hiyo inahitwa hakuna kitakacho baki! kijana alitaka kuvunja record za Makiss yaliyowai kutokea labda project ijayo itakuwa hivi
 
Attachments

  • 1416746713476.jpg
    1416746713476.jpg
    48 KB · Views: 668
T

Anatafta attention kinguvu zaidi sijui mshauri wake achange strategies za kumfanya aendelee Ku make headlines sasa yeye mademu ndo kimbilio lake hata hainogi kwa mtu ka yeye ataishia kubaya na jamii haitamhurumia kwa city ka vyake ndo mana akina Jide prof j mwanafa Ay mbona wanna survive bila skendo za kipuuzi

Kijana ana hitaji ushauri wa haraka mwenendo wake sio mzuri!
 
Back
Top Bottom