Is Zari and Diamond Platinumz project continues? What about Wema?

Is Zari and Diamond Platinumz project continues? What about Wema?

Pilipili ya shamba yatuwashia nini?Beautiful Onyinye alishasema anaifaham hii project!
 
Le Mutuz kweli halijui mambo yani limepiga picha tu na zari,wenzake wamemlamba kabisa.
 
Ndio Gap la karibia miaka 14? Ndio kufata demu mwenye watoto wa3,mie naona zari hajapishana umri na mama yake domondi.
hahaha
Kwa hiyo ni Mkubwa na Wanae? Hivi Mama Diamond huwa ana mshauri mwanae?
 
Le Mutuz kweli halijui mambo yani limepiga picha tu na zari,wenzake wamemlamba kabisa.

Hahahahaha Uknw Mimi ni celebrity mkubwa wait for letamkoz
hahahaha I love it
 

Attachments

  • 1416749302242.jpg
    1416749302242.jpg
    37.4 KB · Views: 383
Hebu tuweke kumbukumbu sawa hapa manake inawezekana watu mmekazana kusifia umalaya wa wenzenu kwa vile wa kwenu hakuna anayeufuatilia. Kwa kumbukumbu zangu, tangu Diamond arudiane na Wema, hatujasikia kwa ushahidi kabisa kwamba Diamond amegonga mwanamke fulani. Tangu wamerudiana, ni karibu miaka mitatu sasa na ndipo tunapata habari za Dangote na Zari.

Sasa member mwenzangu, kaa chini na tafakari na wala haina haja ya kutoa jibu hapa... jibu baki nalo mwenyewe kwenye nafsi yako kisha jiulize kama una moral authority ya kumnyooshea kidole Diamond! Wewe mwanamke, kaa chini na tafakari kisha jijibu mwenyewe; over the past three years, umegongwa na wanaume wapya wangapi? Wewe mwanaume, over the past three years umegonga wangapi? UKishapata jibu hebu jaribu kujitafakari kama kweli unayo moral authority au tu ni kwavile ya kwako hayajulikani!!!!

Kuna watu wengine, kama kawaida yao, eti anatafuta kiki! Hii hoja ishapitwa na wakati coz' video ambae ameiachia siku tatu tu zilizopita tayari ina views zaidi ya 350,000... sasa utafute kiki ya nini kwa ku-post picha kama hiyo.... hebu njooni na hoja za msingi, hiyo ya kutafuta kiki ishakuwa obsolte!!

Tukija upande wa picha, wakati Zari yupo hapa nchini, kuna blogger mmoja wa kike alishazungumzia suala la yeye kuwapiga picha Diamond na Zari kwa siri na kuahidi kwamba angesambaza ubuyu kwa watu.... na hata ukiziangalia hizo picha utagundua ni ile siku ambayo Diamond alikuwa na Zari pamoja na Sintah! Kwahiyo kuna uwezekano mkubwa hizo picha zilipigwa na Sintah na yeye ndie kazisambaza!!!
sintah.jpg
 
Nyimbo inaitwa Bwagamoyo...nzuri kinooma... Kama three to weeks hivi alitoa.. But wadau wameipotezeaa..
Dai na ali k ndo wasanii..

Hakika Leo ndio naisikia hii habari kuwa bushoke ana nyimbo! Kweli usanii bongo ni kazi sana ndio maana Q-chillah alidhani anarogwa!
 
Back
Top Bottom