Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bushoke katoa nyimbo mpya?
Hahahahhaa
Una tabia mbaya sana ujue
Umesababisha niichunguze picha
Domo linanyonya hadi kidevu....... zari akifanya masihara litamziba hadi pua ashindwe kupumua
Wanasema Umri si chochote kwenye Mapenzi! hila diamond sio wa 1988?
najaribu kumpigia chibu apokei cm dah
Hahaaaaaa umenichekeshaje
Nimecheka kicheko hiko lol
Eti linanyonya hadi kidevu...jf stress free
Unataka kumwambiaje???
hahaha una mbwembwe wewe
Le Mutuz kweli halijui mambo yani limepiga picha tu na zari,wenzake wamemlamba kabisa.
hahaha
Kwa hiyo ni Mkubwa na Wanae? Hivi Mama Diamond huwa ana mshauri mwanae?

Nyimbo inaitwa Bwagamoyo...nzuri kinooma... Kama three to weeks hivi alitoa.. But wadau wameipotezeaa..
Dai na ali k ndo wasanii..
ngoja apokee cm kwanza nitakujulisha
Nimeshangazwa!