Is Zari and Diamond Platinumz project continues? What about Wema?

Diamond zipige tu baba zikijileta kamua usimbakize mtu....
 
Haya yule mama anayejiita boss lady wa Uganda na king of bongo flava waaamua kuuza na kutuma picha yao waliokuwa wakilana Live!

Jamani hivi hawa wanawake mbona hawajithamini hivi, hii hungry for fame ndo hivi? Na huyu Diamond mbona hana class. Najua mapenzi mtu hachaguliwi ila sio kiivyo! kweli pesa hainunui class wala heshima na hawa ndo wame prove!
 
mkashikwa masikio eti projecti.....project on my foot!!! mwenye macho haambiwi tazama halafu fanya kututumia hiyo picha tafadhali.............
 
Mkuu ndo unaona leo
Hyo ni wiki 2 zilizopita sshiv mapenzi yao yapo stage nyingine ni balaaa
 
Tabia yake tu ndo inamfanya baadhi ya watu wamchukie, na sio kwamba sio muimbaji mzuri lah! Ni mambo kama hayo , sasa anavyoweka hadharani ili iweje? Ni kuwa hakujiamini kama angeweza kulala na zari au nini, ushamba tu na ulimbukeni

Watakuja mahaba niue hapa wanasemaga wanapositi maneno kama haya wanaitwa sijui hetaz...hamo...!!!
 
zarina hassan tlale ana miaka mingapi
 
Responding to a post by Karim (Zari's young brother), who seems to be disturbed by his BIG sister dating someone as young as him.

In his post yesterday, Karim wrote: "You are ashaming us, how can you date a boy my age. You moved from one man to another in less than 3 days."

Zari was quick to respond though she maintained that it was not Karim behind that post. "Diamond is just a friend of mine. It's never been written that female and male can't be friends, it's just the backward people that use that kind of perspective to blow things out of proportion."

Wema Sepetu, Diamond Platnumz lover is equally not happy with the 'business' between Zari and her better half, the same way Karim has decided to shout it out.

Zari is nine years older than Diamond Platnumz but the two have been cozy lately, something many treat as unusual. Zari had reunited with Ivan after dumping Farouk, but like her brother puts it, ''from one man to another in 3 days'', she is now with Diamond Platnumz.

The Tanzanian Bongo Flavor star has already introduced Zari to his mom. Platnumz, his mom and Zari took photos at the awarding event in South Africa.The couple was last cited at the Channel O Music Video Awards where Platnumz made Tanzania proud by taking home three awards.

These are some of the responses from Zari's sister, Ashurah and King Lawrence who happens to be more than a brother to Zari's on and off hubby, Ivan semwanga.
Majibu yenyewe ndio haya hapa. Diamond kuwa makini isijekuwa unatumiwa na watu kufikisha malengo yao then uje ulie badae. Wema hatakurudia tena kukubembeleza ohoo. Ilitakiwa kwa kuwa umemtambulisha kwa mama yako nae akuheshimu angalau akubali mbele ya uma
 

Attachments

  • 1417465319504.jpg
    17.7 KB · Views: 3,794
Kwa hiyo mrembo unapenda dai awe na Wema! Maana hii ishu imekukaba hupumuii hhhhhhaaaaa zari keshalambwa hata akikana haihitaji phd ujue hiloo bibiee
Usijal wema watarudiana maana ni kawaida yaoo lakin wema hataolewa na Dai teh...huyo kingkessy kawapanga msululu mademu
 

wala siumii ila nachekelea domo kutumika. kwa wema hatumtaki. ww ndio wema anakunyima pumzi. me hadi kufanya hivi ni kuwaonesha tu kwamba hata wema ana supporters mlizidi kumuonea hapa nyuma.

soon mtafurahi zaidi wala sisemi sana. mark haya maneno. dina utalala chini ya keyboard ohooooooo hahahaaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…