Yaaan wanatuchosha na muv zaoProject yao ndiyo imeishia hapa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaaan wanatuchosha na muv zaoProject yao ndiyo imeishia hapa?
wala siumii ila nachekelea domo kutumika. kwa wema hatumtaki. ww ndio wema anakunyima pumzi. me hadi kufanya hivi ni kuwaonesha tu kwamba hata wema ana supporters mlizidi kumuonea hapa nyuma.
soon mtafurahi zaidi wala sisemi sana. mark haya maneno. dina utalala chini ya keyboard ohooooooo hahahaaaaaaa
hahaha project bi dada anataka domo akapige shoo ya bure advance ni papuchi
Kuuumbee!!!
Halafu nasikia Dai anapenda kuendesha pikipiki bila helmet
ataliaaaaaaaaa hahaha haha ile mashine ya kimataifa imepita njia zote
UG ndiko ulikoanzia east africa
domo alimtambulisha ukumbini km mpenzi so tayari ilikuwa wazi, hata mama mzazi tayari alishajua. so hakukuwa na haja ya zari kuficha. kumbuka hii ni ishu ya after awards ambapo domo alishakiri pale ukumbini. zari hahaha mchezea wanaume ila afadhali iwe haki sawa kwan men walizoea kuchezea wadadaHivyo hivyo diamond akihojiwa na waandishi wa habari hapa bongo anakaana na kusema ni marafiki kuna project wanafanya, so sio kwamba dai anatumika tu, hata zari hivyo hivyo Akiulizwa ! But wasituchanganye hawa watu ni wapenzi!
Kwa hiyo mrembo unapenda dai awe na Wema! Maana hii ishu imekukaba hupumuii hhhhhhaaaaa zari keshalambwa hata akikana haihitaji phd ujue hiloo bibiee
Usijal wema watarudiana maana ni kawaida yaoo lakin wema hataolewa na Dai teh...huyo kingkessy kawapanga msululu mademu
me nalala....wema harudi kwa dai wewe...tupinge
Kusema ule ukweli Zari ana figure nzuri.