Is Zari and Diamond Platinumz project continues? What about Wema?

Duuuu Noma sana!
BInafsi nimeikubali sana... kwa kawaida huwa radio nafungulia kwa sauti ya chini sana manake sie wengine tukiiachia, mtaani hatusikilizani! Lakini siku nimeipata hiyo ngoma, niliwakera watu manake niliirudia rudia zaidi ya mara kumi na sauti nikiwa nimeiachia... mwenyewe naita kukung'uta vumbi!!!
 
haaha ila ujue huyu Daimond mjanja saana..unahisi kwanini kila akihojiwa kwenye vyombo vya habari kuhusu uhusiano wake na Wema hataki kulizungumzia anavunga?? basi subiriiaa proooject utaiona sooon

Hahaaaaaa LOL
 
Mpwa mbona umeongea kwa kupanik.....

Relax life is too short

Mpwa nimeandika tu wala sijaongea bado, nikiongea wala huwezi kuthubutu kunichomesha mahindi kule pm.

Karibu Capuchino home tuisindikize sunday, maisha hata kama ni mafupi sisi tunayarefusha.
 
Tangu Diamond amrudie Wema minong'ono ya yeye kuchepuka imekuwepo tukumbushane kidogo!!Hamisa mobeto ashatajwa!,pia kuna binti aliibuka akidai anamtoto wa Chibu!,pia inasemekana akiwa London ana kipozeo cha kudumu!!Pia from time to time anatajwa tajwa na watu tofauti pia wapo wanaodai anapasha kiporo kwa Penny!Hatusemi sisi wasafi ila sio sababu ya kutomshangaa jinsi alivo Kitombe!
 

Ahsante,! GREAT ! GREAT ! LIKE ! LIKE.
NOTHING TO ADD
 

Ok., yeye kitombe! Na hao mabinti vitombwe!

BOTTOM LINE.
 
Mpwa nimeandika tu wala sijaongea bado, nikiongea wala huwezi kuthubutu kunichomesha mahindi kule pm.

Karibu Capuchino home tuisindikize sunday, maisha hata kama ni mafupi sisi tunayarefusha.

Hahaaa kwahiyo hii yote kisa kukuchomesha mahindi......

Karibu haya maeneo yq Chuo Kikuu tuyarefushe maisha
 
Hahaaa kwahiyo hii yote kisa kukuchomesha mahindi......

Karibu haya maeneo yq Chuo Kikuu tuyarefushe maisha

Kwahiyo ulidhani mimi nina moyo wa chuma?

Leo nipo home tu na kopo kubwa la Africafe hapana kuzurura, mitaa hiyo labda next weekend, na Christmass ndio hiyo nione kama utalaza damu.
 
hahahahaha uknw Mimi ndio nilifanikisha hiyo project na kila kitu na ndio nilikuwa napiga picha uknw maana Mimi ni Celebrity mkubwa!
hahahahahahaha leproject
I love it

U knw mimi na diamond mabebs wa ukweli wanajileta wenyewe u knw. Le project ilikolea u knw nikaimbia nipige picha u knw.
Ma super gadem mburulaz u knw hawawezi elewa le project
 
Unaona sasa... kumbe maneno ya barabarani ambayo hata Hamisa mwenyewe alikana! Labda kwa kukuongezea tu, watu walisema hadi suala la Diamond na Menninah na kudai kwamba inapangwa ndoa... je, ilikuwa kweli?

Lakini kwa upande mwingine ikiwa unakiri si kwamba wenyewe ni wasafi, tena si ajabu wengine ni wachafu kuliko huyo Diamond, sasa hiyo moral authority ya kuushikia bango uzinzi wa Chibu mnaitolea wapi? Mbaya zaidi, si ajabu hapa kuna wengine wamo ndani ya ndoa na bado wanazini vile vile lakini hapa, kila siku kushikia bango uzinzi wa wenzao!!! Lakini kikubwa zaidi, hususani mashabiki wa Ally Kiba, Kiba ana watoto watatu na kila mtoto ana mama ake na wote hao kawamwaga... mbona hilo halisemwi?
 
Uwiiiiiiiiiiiiiiiiii napita tu mieee wacheni project iendeleeeeeee
 
Diamond anapenda masifa sana!!Kabla hajatoka alikataliwa sana na wanawake that's y analipiza kugonga kama kuku!Bora kiba anazaa kuliko Diamond,mademu zake Wema na Penny kwa nyakati tofauti mimba ziliyeyuka!!Afu usifananishe nafasi zetu sie kina kapuku na hao vioo vya jamii!!Kizuri tunasifia kibaya tunakikemea!!Mganga hajigangi...sasa kwa vile kuna watu wachafu kuliko Diamond ndo unataka watu wamkalie kimya?!Hizo picha anasambaza nani??
 
Daimond kula vituuu babaaaa, ,,hata wa hapa bongo kama magonjwa wanayo washakupa wasimseme Zari wakati mademu zake Dai wote hawajatuliaa
 
Nimelog in fesibuk I see same pic ipo viral pia instagram, kwa wazoefu wa editorial na grafiksi tunaona wazi mburula alivyojaribu kuunganisha picha bila scale, Diamond anakiss kidevu halafu ukubwa wa diamond mouth n face unrealistic
 
Nimelog in fesibuk I see same pic ipo viral pia instagram, kwa wazoefu wa editorial na grafiksi tunaona wazi mburula alivyojaribu kuunganisha picha bila scale, Diamond anakiss kidevu halafu ukubwa wa diamond mouth n face unrealistic

Tuwekee hiyo picha ili tukuelewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…