mke wa mkuu
JF-Expert Member
- Dec 19, 2013
- 634
- 277
Kijana ana hitaji ushauri wa haraka mwenendo wake sio mzuri!
jamani kijana kahamasishwa na research ile ya kwamba mwanaume anayefanya mapenzi na wanawake wengi anapunguza hatari ya kupata tezi dume.
Kabisa Ruttashobolwa kaathirika kisaikologia kawa sex edicted hajijui maskini anahitaji washauri nasaha sasa huvi naona yeye ndio hajui kutofautisha jumlisha na x mameneja wake muwahini huyu nashangaa wanaompongeza
Msibani lazima niattend maana spidi hiyo soon ataanza foleni ya njugu muhi2...najua mazishi yatakuwa kinondoni msafara ukianzia tandale. Masela wa tandale wakiongozwa na Juma lokole ndio watabeba mwili huku wakiimba alazwe pema peponi kamanda...mark my word. Hata Mr nice alipotelea mbali kimaradhi na n.k baada ya kuanzana na masugar mammy. Mnamsifia kuparamaia mifupa iloshinda mashine za kukata nyama buchani ila ukweli anachokifanya ni cha kujiangamiza nafsi yake.
kuna watu hawana kinyaa , unavamia tu domo la mtu Kiruuuu!
ngoja mimi nisubiri Le Tamkozz kutoka kwa The BigShow kama ni kweli au sio kweli.
Jamani msilaumu sana wema kaenda kwa babu na diamond kaenda kwa bibi ngoma droo
Hebu tuweke kumbukumbu sawa hapa manake inawezekana watu mmekazana kusifia umalaya wa wenzenu kwa vile wa kwenu hakuna anayeufuatilia. Kwa kumbukumbu zangu, tangu Diamond arudiane na Wema, hatujasikia kwa ushahidi kabisa kwamba Diamond amegonga mwanamke fulani. Tangu wamerudiana, ni karibu miaka mitatu sasa na ndipo tunapata habari za Dangote na Zari.
Sasa member mwenzangu, kaa chini na tafakari na wala haina haja ya kutoa jibu hapa... jibu baki nalo mwenyewe kwenye nafsi yako kisha jiulize kama una moral authority ya kumnyooshea kidole Diamond! Wewe mwanamke, kaa chini na tafakari kisha jijibu mwenyewe; over the past three years, umegongwa na wanaume wapya wangapi? Wewe mwanaume, over the past three years umegonga wangapi? UKishapata jibu hebu jaribu kujitafakari kama kweli unayo moral authority au tu ni kwavile ya kwako hayajulikani!!!!
Kuna watu wengine, kama kawaida yao, eti anatafuta kiki! Hii hoja ishapitwa na wakati coz' video ambae ameiachia siku tatu tu zilizopita tayari ina views zaidi ya 350,000... sasa utafute kiki ya nini kwa ku-post picha kama hiyo.... hebu njooni na hoja za msingi, hiyo ya kutafuta kiki ishakuwa obsolte!!
Tukija upande wa picha, wakati Zari yupo hapa nchini, kuna blogger mmoja wa kike alishazungumzia suala la yeye kuwapiga picha Diamond na Zari kwa siri na kuahidi kwamba angesambaza ubuyu kwa watu.... na hata ukiziangalia hizo picha utagundua ni ile siku ambayo Diamond alikuwa na Zari pamoja na Sintah! Kwahiyo kuna uwezekano mkubwa hizo picha zilipigwa na Sintah na yeye ndie kazisambaza!!!
View attachment 204962
Jamaa akikutaka utachomoa??
Aisee... kumbe hadi Le Mutuz nae alikuwepo??!!! But if you ask me , Le Mutuz hawezi kuiphoto picha kama ile... WHY? Ile picha Le Mutuz angetamani yeye awe ndie Chibu na kwavile hakuwa yeye basi ni kukosa wakose wote kuliko kuutangazia umma kwamba kwamba, wakati Le Mutuz kaishia kupiga picha tu, Mond kala hadi denda!! Hii picha kama sio Sintah basi ni watu wa karibu na Mond mwenyewe coz' mara nyingi hata unyamwezini scanda za wasanii huwa zinawekwa hadharani na watu wa karibu wa wasanii wenyewe!Le mutuz pia alikuwepo...see
Jibu swali wewe... sema ukijibu lile lingine, itaniuma kweli aisee!Si hadi anitake
NI Wema tupu na hilo halina mjadala... unajua ukweli unabaki pale pale kwamba Mond anampenda sana Wema sema mapenzi yao yanaingiliwa mno na watu! Nilimsikiliza Chibu siku anahojiwa pale alipoachana na Wema mara ya kwanza 2011... yaani jamaa alikuwa anatia hutuma ile mbaya! Kwanza Chibu inaelekea sio mtalaamu wa kudanganya... ilikuwa ukimsikiliza kwenye yale mahojiano, unajua kabisa Diamond alikuwa dizani kama mume ----- fulani hivi... na yeye mwenyewe alikiri hivyo!Na huu wimbo wa nitampata wapi video yake...wema mtupu....maana demu kahongwa gari na babu kwa video na wema nae bmw
Msibani lazima niattend maana spidi hiyo soon ataanza foleni ya njugu muhi2...najua mazishi yatakuwa kinondoni msafara ukianzia tandale. Masela wa tandale wakiongozwa na Juma lokole ndio watabeba mwili huku wakiimba alazwe pema peponi kamanda...mark my word. Hata Mr nice alipotelea mbali kimaradhi na n.k baada ya kuanzana na masugar mammy. Mnamsifia kuparamaia mifupa iloshinda mashine za kukata nyama buchani ila ukweli anachokifanya ni cha kujiangamiza nafsi yake.
Jibu swali wewe... sema ukijibu lile lingine, itaniuma kweli aisee!
Yaani watu wanadendeka hadi wanasinzia kabisa halafu bado tu waseme ilikuwa ni project? Inawezekana kabisa kwamba hawakungonoka lakini kusema they're not dating ni kichekesho! Anyway, Zari analazimika kusema hayo coz' she's kids ambao wana uwezo wa kuingia instagram! Kids always believe in their mom... kwahiyo hata wakikuta posts zinazosema their mom dates with Chibu, wao wataamini yale yanayosemwa na mama yao "we ain't dating but project!" Na akishawaonesha video clips... amemaliza kazi!They were carried away when working on a project..... Uongo mwingine bana