Isabel Maganga ateuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Equity Bank Tanzania; afuata nyayo za Ruth Zaipuna wa NMB

Kasoma environmental SUA na baadaye kasoma mambo ya benki, sawa......kongole kwake, kwa anayejua head office ya equity bank wapo maeneo gani.....
Golden jubilee I think!!kama mi sijuagi mitaa ya Posta nayajua majengo tu,ukishuka Posta mpya fanya kama warudi nyuma ingia ile road Pita jengo la NEC majengo yanayofuata maeneo Yale nafikiri ndo hukooo!
 

Haya maisha kila siku yanazidi kuwa somo/elimu...

Sasa wale waliokuwa mabosi zake na walimnyanyasa Isabela saa hizi wanatoa mimacho.....!

All the best to her new position.
 
Hongera Equity bank kwa sasa mmeamua mmeleta mabadiliko makubwa ,ya kihuduma hata kwenye mikopo ya watumishi Riba zao ni rafiki sana kwa sasa wana mafuriko ya wateja hasa kanda ya ziwa CRDB NA NMB wajipange
Katika bank inayoongoza kwa kuuza nyumba za watu ni hii πŸ˜… hapa jirani yetu tu kuna ghorofa inauzwa na Equity jamaa ame default.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…