Msanii wa kuigiza ambae anakuja juu kwa skendo za kuacha watu midomo wazi ( Isabela a.k.a Vai wa ukweli) amefunguka kwa kusema yeye ni zaidi ya lulu na huwezi kumlinganisha na Mtoto mdogo Elizabeth a.k.a Lulu,"am next level Lulu haniwezi hata kimapenzi niko juu. "Najua sana mapenzi kuliko kuigiza so najivunia kuwa na vipaji vingi kadri siku zinavyokuja ntaviweka hadharani" alitamba isabela.
WAZO LANGU:
HIVI NI KWELI DADA ZETU MNATAFUTA UMAARUFU KA STAILI HII? MMMMH!!! SIJUI NTAMUOA NANI?!!!
Jamani huu umaarufu nao ukiuendekeza matokeo yake unatembea uchi,sasa huyu mdada anachokitangaza hasa nini? anaongea pumbaaa! unajisifia kua hodari wamapenzi haya wape Marijali waone kama kweli halafu watatuambia usijisifu........
Does kuwa Msanii bongo means Ngono? kwani hakuna baraza la Sanaa? kwanini asipigwe BAN huyu? maana kwene mpira ukicheza rough unatolewa na hatua kali zinachukiliwa! Iweje hawa malaya wajifiche kwenye sanaa ya uigizaji ili kufanya umalaya wao? wanetu wajifunze nini? lakini utashangaa BASATA watakaa kimya tu!
Huo umaarufu anaoutafuta kwa njia hizo utampoteza haraka sana na atasahaulika. Ukiwa maarufu unatakiwa uulinde, uchunge unachoongea na unachofanya ili umaarufu wako uwe endelevu.
Unafikiri kila unayemuona ana akili timamu, hicho kipaji chake akakipeleke kwa maporn star wa Nigeria, asitusumbue akili, yeye ni muigizaji wa kawaida au ni porn star, huo uchi wake akauonyeshe kwenye jarida la playboy, asituharibie jamii yetu ya Bongo, khaaa, polisi wako wapi, wamkamate bwana!
Prostitution is the act or practice of providing sexual services to another person in return for payment. The person who receives payment for sexual services is called a prostitute and the person who receives such services is known by a multitude of terms, including johns. Prostitution is one of the branches of the sex industry. The legal status of prostitution varies from country to country, from being a punishable crime to a regulated profession. Estimates place the annual revenue generated from the global prostitution industry to be over $100 billion.[SUP][1][/SUP]
Prostitution occurs in a variety of forms. Brothels are establishments specifically dedicated to prostitution. In escort prostitution, the act takes place at the customer's residence or hotel room (referred to as out-call), or at the escort's residence or in a hotel room rented for the occasion by the escort (called in-call). Another form is street prostitution. Sex tourism refers to travelling, typically from developed to under-developed nations, to engage in sexual activity with prostitutes. Today, human trafficking, described as the largest slave trade in history,[SUP][2][/SUP] is primarily for prostituting women and children.[SUP][3][/SUP]