Isabella na Harmonaiz ndani ya mahaba mazito

Isabella na Harmonaiz ndani ya mahaba mazito

Kama hvyo basi mapenzi yamekuwa hayana thamani kabisaa labda kwa wachache,hata miezi miwili haijaisha mtu kaopoa mwingine daaa ngoja nibaki kuwa paroko ahaa kumbe mie ke
Ha ha ha ha ,mkuu mbona umejishtukia hivyoo
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Kweli ukiwa wa starehe huzeek

[emoji23][emoji23] hii formula yako mpya ila nimeipenda,1999 alikua form 1 uyo Mkonge sec mimi nilikaona kakiwa bado kabichi ila makeke kaanza kitambo enzi zile alikua anaigilizia nyimbo za MAKOMA anaalikwa kwenye sherehe.
 
Asalaleeeeeeeeee
Kakitambo hiv kumbe

Sasa vdume cjui kama
Watapungua 50 waliopita
Nae[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Ila isabela ni mwembamba jamani doh[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umakonde maana yake nini.? Mshaanza ze ukabila
 
Back
Top Bottom