Isabella na Harmonaiz ndani ya mahaba mazito

Isabella na Harmonaiz ndani ya mahaba mazito

Du si yule anakuwaga na baby madaha mpenda waarabu sasa huyo msafi wa wcb si kaumia anaruka moto anatua kwenye moto bado anaendelea kuungua
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] asee mmakonde chio ntu[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Bora uainishe unakusudia mmakonde yupi ambaye sio mtu? Utani wa ngumi huu!!
Au wewe mndengereko??
 
Hao 50 wachache sana ,,wapo wanaopga bao moja wanasepaa kama dakka 5 tu ,,anajiita bella fast maana yake wewe unapga fasta unasepaa
Haha JF inaonekana mnamjua huyu dada kuliko hata anavyojijua, nawewe aliwahi kukupa cha fasta nini? Halafu huyu si kuna kipindi alitangaza ndoa na Luteni Karama, what happened? Sipatii picha Harmonize kama amekula huo mzigo na anapitia hizi comment yuko katika hali gani. Anyway, huyu dada kuna kipindi alikuwa na kundi la Malaya wenzake kina Baby Madaha, Jini Kabula na wengineo wanajifanya wanaimba
 
Back
Top Bottom