ISAREL yamuua Saleh Al-Arouri, Makamo Mwenyekiti wa Magaidi ya Hamas ,alikua kajificha Nchini Lebanon!!

Myahudi akikusaka hakuachi

Ova
 
Myahudi akikusaka hakuachi

Ova
Hawa Wapalestina wangejifunza kitu Kwa Mandela wangeishi Raha mustarehe.

Makaburu huwezi kuwaondowa South Africa wala kuwanyang'anya mashamba, muhimu ni kuishi nao na waendelee kutowa Ajira Kwa watu weusi.

Elimu ya misikitini kufundishwa Jihad imeshindwa kuelewa calculation ndogo tu kama hizi.
 
Oa binti mzuuuri wa Kipalestina nakulipia mahari mkuu.

Hata Masettler wa Zim walifukuzwa na Mugabe lakini sasa wamerudi.

Museveni alirudisha na kuwafidia Wa-Asia waliofukuzwa na kuporwa mali na Idi Amin na uchumi wa Uganda ukafufuka.
 
Sema umeiandika kishabiki sana hii habari yako


R.I.P Gaidi
 
Tayari magaidi 9 wa Hezbollah wamefekwa na Israel na huko iran wameuliwa watu 100
 
Kuna wakati wa furaha na kuna wakati wa vita......
Japo vita sio kitu kizuri ila ikibidi hakuna jinsi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…