Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Wenzako wanaomboleza, Gaidi namba mbili limetunguliwa na droneHamas piga ayo mashoga yameanza kupoteana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wenzako wanaomboleza, Gaidi namba mbili limetunguliwa na droneHamas piga ayo mashoga yameanza kupoteana
Hawa Wapalestina wangejifunza kitu Kwa Mandela wangeishi Raha mustarehe.Myahudi akikusaka hakuachi
Ova
Savimbi alishinda wa Magharibi kukamata kwa miaka 36, IDF ikamnyakuwa ndani ya siku 3.Myahudi akikusaka hakuachi
Ova
Oa binti mzuuuri wa Kipalestina nakulipia mahari mkuu.Hawa Wapalestina wangejifunza kitu Kwa Mandela wangeishi Raha mustarehe.
Makaburu huwezi kuwaondowa South Africa wala kuwanyang'anya mashamba, muhimu ni kuishi nao na waendelee kutowa Ajira Kwa watu weusi.
Elimu ya misikitini kufundishwa Jihad imeshindwa kuelewa calculation ndogo tu kama hizi.
Akiwemo huyo bibi #faiza foxHabari iwafikie magaidi wote wa JF walojificha kwenye mwamvuli wa UISLAM.
Tayari magaidi 9 wa Hezbollah wamefekwa na Israel na huko iran wameuliwa watu 100Waisrael wenzangu, lile Gaidi namba mbili la HAMAS lilokua mafichoni Nchini Lebanon , limeuliwa Leo Mara baada ya Ndege vita isokua na Rubani kuingia anga la Beirut Lebanon na Kuachilia kombora ambalo limemuacha Gaidi akiwa vipande vipande.
Sambamba naye, wameuliwa magaidi mengine Matano.
Hii ndio Israel , Ulipo Tupo [emoji23][emoji23]
Tunamuwinda Mwenyekiti sasa !!.
Hizibollah mkijichanganya kulipa kisasi, tutaigeuza Lebanon kua Vumbi.
Yale mameli ya Wamarekan, yalikuja Kutusaidia Taarifa za alipo huyu Gaidi
View attachment 2860415