TANZIA Isdory Shirima afariki dunia

TANZIA Isdory Shirima afariki dunia

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hii ndio taarifa mpya iliyopatikana jana usiku, kwamba Mzee Isdory Shirima aliyewahi kuwa Mkuu wa Mikoa kadhaa nchini amefariki Dunia.

Hakuna taarifa zaidi za matanga, Ugonjwa uliopelekea kifo chake wala Hospitali aliyofia.

Tunatoa pole kwa wafiwa wote.

Apumzike kwa amani.
 
Hii ndio Taarifa Mpya iliyopatikana jana Usiku , Kwamba Mzee Isdory Shirima aliyewahi kuwa Mkuu wa Mikoa Kadhaa nchini Amefariki Dunia .

Hakuna taarifa zaidi za matanga , Ugonjwa uliopelekea Kifo chake wala Hospitali aliyofia .

Tunatoa pole kwa wafiwa wote .

Apumzike kwa amani .
Dah apumnzike kwa Amani
 
Wakati huo nafasi ya ukuu wa mkoa ilikuwa ikiheshimika maana hata upatikanaji wake uliangalia utendaji madhubuti kabla ya mtu mmoja kuja kuvuruga sifa stahiki na kuanza kutumia vigezo vya ukanda,ukabila na ukatili huku mteuzi akijifanya mungu mtu na hao wasaidizi wake huko mikoani kuwa manabii,eti huo ndio uzalendo!
 
Back
Top Bottom