Isee Mungu yupo

Isee Mungu yupo

daaaah kweli mungu yupo,jana nimekaa zangu sebleni nikasema ngoja niombe chezo kwa chepuko langu,tmechaaat,tumechaaaat we,he nakuja kushtuka kumbe msg nilikuwa namtumia wife bwana kwakuwa majina yao yanaanza na herufi sawa,

Wacha nikurupuke bahti nzuri nimenyata chumbani namkuta wife anakoroma isee,na simu iko kwenye charge taratiiiiiiib nikaichukua huku natabasamu nikaanza kufuta msg moja baada ya nyingine daaaaaaah,yan asubuh nimeamka kwa furaha napiga milunzi tu chumbani daaaaaaaaaaah
mkeo kalala, sasa nani aliyekuwa anakujibu meseji?
 
Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu. Inamaana message zako za kuomba mchezo zilimlevya wife mpaka akasinzia? Eti nyingine zinajibiwa nyingine hazijibiwi! face it bro, umebugi
Anajifunza kudanganya
 
Back
Top Bottom