wanafyatua...in ____________voicetanzania ya viwanda baba na mama wapo kitandani 24/7 wanazalisha nini mkuu?
mkeo kalala, sasa nani aliyekuwa anakujibu meseji?daaaah kweli mungu yupo,jana nimekaa zangu sebleni nikasema ngoja niombe chezo kwa chepuko langu,tmechaaat,tumechaaaat we,he nakuja kushtuka kumbe msg nilikuwa namtumia wife bwana kwakuwa majina yao yanaanza na herufi sawa,
Wacha nikurupuke bahti nzuri nimenyata chumbani namkuta wife anakoroma isee,na simu iko kwenye charge taratiiiiiiib nikaichukua huku natabasamu nikaanza kufuta msg moja baada ya nyingine daaaaaaah,yan asubuh nimeamka kwa furaha napiga milunzi tu chumbani daaaaaaaaaaah
Anajifunza kudanganyaUkiwa muongo uwe na kumbukumbu. Inamaana message zako za kuomba mchezo zilimlevya wife mpaka akasinzia? Eti nyingine zinajibiwa nyingine hazijibiwi! face it bro, umebugi
Mboga 7 lazima kulala mchana lakini kama nusu mboga kulala usiku kwake pia shidaaaa.mnalala mchana ? hongereni maana tamko la kufyatua watoto limetoka juu hakuna shida