Ish Ish Aaaa....

Tanzania tulihitaji viongozi aina ya Uhuru na Ruto! Ingawa haikuwa, lkn wakati ule Mbowe anagombea Urais, ilikuwa ni turufu kwetu kama Nchi.... Ila hofu ya CCM ilitufanya tupambane nae ili asishinde...
Ukweli ni kwamba huyu anabaki kuwa mwanasiasa makini ambaye Nchi hii imebahatika kuwa nae. Ni mojawapo ya matunda halisi ya Mwalimu Nyerere...achana na hawa wanaomuigiza. Ndani ya CCM halisi tunajua uwezo wa huyu kijana..tatizo lake pekee ni yeye kuamua kuikomboa Nchi hii kupitia upinzani. Ndani ya CCM tunao vijana wanne tu aina yake, lkn ni kama wamesusia siasa.
 

da ndio ivo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…