Squidward
JF-Expert Member
- Jul 21, 2014
- 7,828
- 9,546
Waswahili wana tabu sana
yaani mnataka msiba usafirishwe na pesa hamna
na mnataka mtu mwingine agharamie hizo safari
halafu alipokataa kawa mbaya sasa?
seriously?
ndo wazaramo hao kaka . wakiamua kukinukisha hakuna wa kupinga